“Ukiwaza kitu kwa dakika moja na sekunde nane – huu ni utafiti wangu tu – hicho kitu kitaanza kujiumba kwa ajili yako sehemu fulani ulimwenguni. Ukiamini kwa kiasi cha kutosha kwamba umekipata, utakipata. Haijalishi kama una elimu au huna. Hiyo ndiyo siri kubwa zaidi ya utajiri kuliko zote duniani – MAWAZO YAKO.” UniverseWealthSecretEducationThoughtsResearchSiriUlimwenguUtajiriElimuMawazoUtafiti1 Minute 8 SecondsDakika 1 Na Sekunde 8 Author:Enock Maregesi
“Unapoupinga utafiti wa mtu upinge kwa utafiti mwingine! Bila hivyo unashindana na ulimwengu.” UniverseResearchUlimwenguUtafiti Author:Enock Maregesi
“Soma sana. Andika sana. Ongea na watu kuhusu mambo ya muhimu unayoyafikiria. Tumia intaneti na maktaba kwa makini kwa ajili ya utafiti, kwa sababu habari nyingi za intaneti na maktaba haziaminiki. Kama una wazo kichwani mwako lizungumze kwa watu kama mazungumzo ya kawaida, ili upate maoni yao ya dhati, bila kusahau kuandika kwa siri wazo lolote jipya utakalolipata kutokana na mazungumzo hayo. Maana Mungu anaweza kuwasiliana na mtu mwingine yeyote yule akupe wazo, litakaloongeza maana zaidi katika mawazo ambayo tayari unayo.” GodInternetResearchReadWriteMunguSomaUtafitiAndikaIntaneti Author:Enock Maregesi