Quotessence
Home / Quotes / Quote by Lailah Gifty Akita

Quote by Lailah Gifty Akita

Author

Lailah Gifty Akita

Browse famous quotes and profile details for Lailah Gifty Akita. more

You May Also Like

“Leo ni siku ya kumbukumbu ya giza lililoingia katika familia ya Enock Maregesi. Tarehe 4/11/14 ni siku nuru ya mwanga wa maisha ya nyanya yangu mpenzi Bi Martha Maregesi ilipozimika huko Musoma. Leo ni miaka miwili ametimiza akiwa kimya kabisa! Sikisikii tena kicheko chake wala siisikii tena hekima yake! Familia yake inamkumbuka sana. Palipokuwa kwake ni nyumbani kwetu. Hatuwezi kusahau upendo wake na umuhimu wake kwetu. Tulimpenda sana, lakini Mungu wa mbinguni alimpenda zaidi.”