“Shetani hawezi kujua unafikiria nini: 1 Wafalme 8:39. Yesu anajua unafikiria nini: Yohana 2:25. Shetani haweza kufanya jambo bila ruhusa ya Mungu: Mathayo 4:1. Shetani hawezi kukulazimisha kutenda dhambi: Yakobo 4:7. Pigana na mwindaji wa roho hadi roho yako ikombolewe.” GodJesusSatanFightMunguShetaniYesuPiganaMwindaji Wa RohoSoul Hunter Author:Enock Maregesi
“Ukitamka nadhiri waziwazi Shetani atasikia. Akisikia atavuruga. Mipango yako yote aliyosikia itakuwa matatizoni.” PlansSatanShetaniResolutionsMipangoNadhiriOpenlyWaziwazi Author:Enock Maregesi
“Bila kiburi hutamshinda Shetani, lakini kiburi dhidi ya Shetani unakishinda kwa hekima.” WisdomPrideSatanShetaniHekimaKiburi Author:Enock Maregesi
“Kumbuka, ukimrudishia Shetani tusi utakuwa umejitukana mwenyewe; kwa sababu kile unachokiona nje kiko ndani yako.” SatanInsultShetaniTusi Author:Enock Maregesi
“Roho ikikua itajua hiki ni cha Mungu na hiki ni cha Shetani! Chaguo ni lako.” SoulGodSatanMunguShetaniRohoThe Choice Is YoursChaguo Ni Lako Author:Enock Maregesi
“Manabii wa uongo wana dhambi kuu tatu: tamaa ya ngono, uasi dhidi ya mamlaka ya Kristo, na dharau kwa Shetani.” ChristSatanRebellionShetaniSexual DesireFalse ProphetsKristoManabii Wa UongoTamaa Ya NgonoUasi Author:Enock Maregesi
“Hakuna maana yoyote kupambana na Shetani katika dunia hii ambapo yeye ndiye mtawala. Pambana na Shetani katika dunia ya kiroho ambapo Shetani hana nguvu yoyote mbele ya Yesu Kristo.” WorldJesus ChristSatanDuniaShetaniRulerYesu KristoMtawala Author:Enock Maregesi