“Manabii wa uongo wana dhambi kuu tatu: tamaa ya ngono, uasi dhidi ya mamlaka ya Kristo, na dharau kwa Shetani.” Quote by Enock Maregesi
“Hakuna maana yoyote kupambana na Shetani katika dunia hii ambapo yeye ndiye mtawala. Pambana na Shetani katika dunia ya kiroho ambapo Shetani hana nguvu yoyote mbele ya Yesu Kristo.” WorldJesus ChristSatanDuniaShetaniRulerYesu KristoMtawala Author:Enock Maregesi
“Shetani hawezi kusoma ndani ya myoyo ya wanadamu mpaka wanadamu wenyewe wamwonyeshe. Ukionyesha tamaa ya ngono, Shetani atakupa ngono. Ukionyesha tamaa ya ulevi, Shetani atakupa ulevi. Ukionyesha tamaa ya wizi, Shetani atakupa wizi. Usimpe nafasi Shetani.” HumansSatanTheftDrunkennessShetaniSexual IntercourseWanadamuNgonoUleviWizi Author:Enock Maregesi
“Nobody cannot be me . That endurance and those tribulation are attached with a price of courage” Life Quotes Author:mellina
“Kama Mungu na Shetani hawako ndani yako, hiyo vita ya kiroho unaipigania wapi?” GodSatanMunguSpiritual WarfareShetaniVita Ya Kiroho Author:Enock Maregesi
“Ukiwa makini, nadhani, utapata maana ya ujumbe unaopewa na Roho Mtakatifu kwa wale wanaomwamini Mungu au ‘daemon’ (tofauti na ‘demon’) kwa wale wasiomwamini Mungu. Mimi, kwa mfano, huwa najali muda. Jicho langu likicheza au kiungo changu chochote cha mwili kikiuma ghafla na kuacha, au hata kisipoacha, jambo lolote ninalolifikiria muda huo ambapo jicho linacheza au kiungo changu cha mwili kinauma najua ni ujumbe kutoka kwa Mungu na una uhusiano na jambo hilo ninaloliwaza. Hivyo, kuanzia sekunde hiyo napaswa kuwa makini sana na jambo lolote ninalolifikiria.” GodBodyCarefulMeaningHoly SpiritDemonConnectionMunguMessageShetaniSecondDaemonMwiliRoho MtakatifuMaanaSekundeI ThinkMakiniUhusianoUjumbeJicho LanguKiungo ChanguMy EyeMy OrganBeing CarefulI Care About TimeNadhaniNajali MudaThose Who Believe In GodThose Who Do Not Believe In GodUkiwa MakiniWale Wanaomwamini MunguWale Wasiomwamini Mungu Author:Enock Maregesi
“Katika dunia ya leo ambapo mamilioni ya watu hutegemea utandawazi kupata pesa, kuwa na imani kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua au mtu mwenye nia mbaya na wewe ni kikwazo kikubwa cha maendeleo kwa sababu, karibu kila mtu unayekutana naye ni Shetani. Shetani ni mtu yoyote mwenye nia mbaya na wewe. Hivyo, kama uliwahi kuambiwa kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua ni kitu kibaya futa imani hiyo. Utaachaje kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua wakati kila siku unamwomba Mungu akusaidie, na Mungu hutenda kazi zake pale tunapojisahau? La sivyo hutapata pesa unayotamani kupata katika maisha yako, na kamwe hutawaamini watu. Zaka huondoa laana ya mapato. Toa zaka kununua pepo uliyopewa na Mungu.” WorldLifeGodFaithMoneyDevelopmentSatanParadiseGlobalizationMaliceMunguDuniaShetaniTitheMaishaPesaImaniZakaMaendeleoMillions Of PeopleNia MbayaPepoCurse Of IncomeLaana Ya MapatoMamilioni Ya WatuMtu UsiyemjuaUnanimous PersonUtandawazi Author:Enock Maregesi
“Pesa ikitolewa kwa masharti mazuri chukua, kama masharti ya kibenki, si masharti mabaya kama ya kiganga, huyo anayeitoa si ya kwake. Pesa mbaya imebarikiwa na Shetani, ukiichukua umeingia agano na Shetani, jambo ambalo Mungu hapendi. Chukua pesa kutoka kwa mtu unayemjua ambaye hana masharti au hana masharti ya kishetani, au usiyemjua.” GodMoneyConditionsSatanMunguShetaniPesaMashartiEvil MoneyPesa Mbaya Author:Enock Maregesi
“Usipoangalia kwa undani sana, mapepo wanatutawala kwa sababu hatuna uwezo wa kuwaona. Aidha, wanaweza, bila hata sisi kujua, kuwasiliana nasi kimawazo na kitabia kupitia hewa hiihii inayotusaidia katika kuishi. Watu wengi katika dunia hii hawajui kama wanadanganywa au walishadanganywa tayari. Shetani na mapepo wake hawataki tujue kama wanatudanganya au wameshatudanganya tayari, na hawataki tujue kama wako hapa kwa ajili ya kutudanganya sisi. Tunajua tu kwa sababu Neno la Mungu hudhihirisha ukweli huu kupitia Roho Mtakatifu na malaika wema, na tunauamini. Licha ya hili jambo kutokea katika maisha yetu, Shetani bado anaweza kutudanganya hadi pale tutakapoerevuka kwa kiasi cha kutosha kuhakikisha kwamba udanganyifu huo hautatokea tena.” PeopleWorldAirSatanHoly SpiritWord Of GodDemonsDuniaShetaniWatuRoho MtakatifuHewaGood AngelsMalaika WemaNeno La MunguMapepo Author:Enock Maregesi
“Hata hivyo, Shetani anaweza kutudanganya kupitia tamaduni zetu tulizozaliwa nazo. Utamaduni, dunia tunapoishi, ndiyo chanzo cha udanganyifu huu. Yesu Kristo alikufa msalabani ili tupate uhuru kutoka kwa Shetani. Chukua hatua sasa kwa sababu Shetani anaweza kukuteka, na kukufanya mtumwa tena.” PeopleWorldCultureFreedomAirSourceJesus ChristSlaveSatanHoly SpiritDeceitWord Of GodDemonsDuniaShetaniWatuYesu KristoRoho MtakatifuUhuruHewaUtamaduniGood AngelsMalaika WemaNeno La MunguMapepoMtumwaUdanganyifuChanzoOur CulturesTamaduni Zetu Author:Enock Maregesi
“Shetani anaweza kukudanganya kwa kukuambia ombeni bila kukoma, wewe ukakesha kuomba na kesho ukaendesha gari lako kuelekea kazini ambako una kikao cha muhimu hali kadhalika. Ukifika kazini unasinzia kwenye kikao unaonekana teja, kumbe ni kazi ya Ibilisi. Tujifunze namna ya kuzipima roho, si kila roho inatoka kwa Mungu.” GodSpiritSatanMunguLuciferShetaniRohoPray Without CeasingIbilisiOmbeni Bila Kukoma Author:Enock Maregesi