“UKIFANYIWA UBAYA JARIBU KUEPUKA KURUDISHIA UBAYA NA KUENDELEA NA MAISHA YAKO. HII NI NGUMU KWA WATU WA KAWAIDA KWA SABABU HAWAISIKII SAUTI YA MUNGU NA NI WAOGA KUISHI PEKE YAO. LAKINI UKIPENDA NA KUSIKILIZA SAUTI YA IMANI YAKO NI LAZIMA UTAISHI KWA FURAHA NA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKO. CHA MSINGI NI KUJUWA MUNGU AMEKUCHAGUWA NA NGUVU ULIYONAYO INAOGOPESHA WENGI ILA UKIWA NAO INAWAPA AMANI NA MWONGOZO WA FURAHA KWENYE MAISHA NA KUWAPONYA N.K UWEPO WAKO SEHEMU UFANYA HTA WANYAMA WATOTO KUDHANIA YA KWAMBA WANAKUJUWA INGAWA HAWAKUJUWI . ZINGATI KUFANYA KAZI UNAYOIPENDA KWANI NDIYO SABABU YA WEWE KUISHI KWENYE MAISHA YA AMANI ALIYO KUPA MWENYEZI MUNGU . YA ©️Kennedy S Mmbando 2025 ...yiya”
Quote by Kennedy S Mmbando
Author
You May Also Like
Source: Of Christmas Present
“You don't become the best if you aren't willing to stick your hand in the fire.”
Source: First Year
Source: 31 Ways to Happiness
“When you allow God to be manifested through you, you will experience a great joy.”
Source: Harvest of Hope: Living Victoriously Through Adversity, A 50-Day Devotional
Source: My Sister's Keeper
Source: There are Two Typos of People in This World: Those Who Can Edit and Those Who Can't
Source: How the World Really Works: A Scientist's Guide to Our Past, Present and Future