“Hakuna mahali popote katika Agano Jipya ambapo sheria ya Sabato imekomeshwa (Kutoka 31:12-17), kwani Mungu alianzisha Sabato kwa ajili ya wanadamu wote (Marko 2:27). Kinyume cha hapo, Yesu aliitunza (Luka 4:16), Paulo aliitunza (Matendo 17:2) na Wamataifa waliitunza pia (Matendo 13:42-44; 16:13)! Mwandishi wa Waebrania anaandika bila kificho, “Basi, imesalia raha ya Sabato kwa watu wa Mungu” (Waebrania 4:9).” New TestamentPaulPauloAgano JipyaExodus 31 12 17Hebrews 4 9Kutoka 31 12 17Sabbath LawsSheria Ya SabatoWaebrania 4 9 Author:Enock Maregesi
“Luka 22:20 ni mwisho wa agano la kale la damu za wanyama na mwanzo wa agano jipya la damu ya Yesu.” New TestamentOld TestamentBlood Of JesusAgano La KaleAgano JipyaDamu Ya YesuLuka 22 20Luke 22 20 Author:Enock Maregesi