“Watu wa zamani katika Agano la Kale walikuwa wakiabudu miungu iliyotengenezwa kwa mawe na vinyago. Miungu hiyo haikuwa na chochote ndani mbali na kutengenezwa kwa akili na fikira za kibinadamu. Hii ilikuwa ni kinyume cha ukweli wa Kibiblia kwamba Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake, lakini si mtu aliyejaa dhambi kumtengeneza Mungu kwa mfano wake. Kuabudu miungu mingine ni dhambi kubwa. Tii Amri Kumi za Mungu; hasa ya kwanza, ya pili na ya tatu.” MindIdeasGodBibleStonesManGodsOld PeopleIdolatryOld TestamentMunguSinsFirstSecondBibliaDhambiAkiliBinadamuThirdKwanzaMiunguAgano La KaleA Great SinDhambi KubwaFikiraMitiTatuKuabudu MiunguMan In His ImageMaweMtu Kwa Mfano WakeObey Ten Commandments Of GodPiliTii Amri Kumi Za MunguVinyagoWatu Wa Zamani Author:Enock Maregesi
“Maisha tunayoishi ni mafupi, maisha ya mbinguni ni ya milele. Fundisha familia yako upendo na hofu ya Mungu, kwani hiyo ndiyo akili kushinda zote. Hekima ya kutunza familia inapatikana katika kitabu cha Mithali cha Agano la Kale.” LoveLifeBrainForeverIntelligenceLife Is ShortOld TestamentMaishaFear Of GodAkiliUpendoMileleHofu Ya MunguAgano La KaleBook Of ProverbsFamily WisdomHeaven S LifeMaisha Ya MbinguniHekima Ya Kutunza FamiliaKitabu Cha MithaliMaisha Ni Mafupi Author:Enock Maregesi
“Luka 22:20 ni mwisho wa agano la kale la damu za wanyama na mwanzo wa agano jipya la damu ya Yesu.” New TestamentOld TestamentBlood Of JesusAgano La KaleAgano JipyaDamu Ya YesuLuka 22 20Luke 22 20 Author:Enock Maregesi