“John Murphy alifika Moscow tarehe 1/11/1992 saa 11 alfajiri akitokea Cairo, Misri. Wakati huo Moscow kulikuwa na baridi sana. Teksi yake ilipofika Teatralny Proezd, upande wa kusini wa Hoteli ya Metropol – karibu na mojawapo ya minara ya mwanzo ya Kitay-gorod, kitovu kikuu cha biashara cha Moscow ya kale – kwa matatizo ya injini; magaidi wanne, waliokuwa wakimfuatilia kwa gari aina ya Bentley Continental S nyeusi – iliyokuwa na namba za kitemi za B 001 BB 77 RUS mali ya Kiongozi wa CS-Moscow Dmitri Olegushka – toka Uwanja wa Ndege wa Sheremetyevo II wa kaskazini-magharibi mwa jiji la Moscow, waliendelea mbele na kusimama mkabala na Jumba la Maonyesho ya Tamthilia la Bolshoy; kisha wawili kati yao wakashuka na kuingia ndani ya kioski, wawili wakibaki ndani ya gari kuhakikisha John Murphy hawapotei. Magaidi hao wa CS-Moscow, Tawi la Kolonia Santita la Urusi na nchi zote za Ulaya ya Mashariki na baadhi ya nchi za Ulaya ya Kusini, walijua Murphy alishawahisi.” ColdRussiaEgyptTaxiMoscowEastern EuropeTerroristsCairoEngineJohn MurphyMagaidiMisriUrusiCs MoscowBaridiInjini1 11 1992B 001 Bb 77 RusBentley ContinentalBentley Continental SBolshoyDmitri OlegushkaHoteli Ya MetropolKioskKioskiKitay GorodMetropol HotelSheremetyevo Ii AirportSouthern EuropeTeatralny ProezdTeksiUlaya Ya KusiniUlaya Ya Mashariki Author:Enock Maregesi
“Unapokuwa mbali na Mungu unakuwa mbali na mwanga, unakuwa gizani, unakuwa mbali na joto, unakuwa katika baridi ya milele. Unapokuwa katika baridi ya milele rangi ya ngozi yako itabadilika na kuwa bluu. Macho yako yatakuwa makubwa kama ya nguva. Bluu maana yake ni kuwa mbali na maarifa ya Mungu. Nguva maana yake ni kuwa mbali na utukufu wa Mungu. Kuwa karibu na maarifa ya Mungu na utukufu wa Mungu, usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo.” GodLightDarknessBlueHeatEyesGlory Of GodMermaidMunguMachoKnowledge Of GodCoolMwangaChristian Of Jesus ChristChristian Of The ChurchMkristo Wa KanisaBaridiBluuChristian Of ReligionMkristo Wa DiniMkristo Wa Yesu KristoNasara Wa DiniNasara Wa KanisaNguvaGizaniJotoMaarifa Ya MunguNasara Wa Yesu KristoRangi Ya Ngozi YakoThe Color Of Your SkinUtukufu Wa Mungu Author:Enock Maregesi