“Kwa vile hatasamehewa, Shetani hatawasamehe wanadamu. Atahakikisha anauwa kila mtu duniani na kumpeleka kuzimu; ambako anaishi yeye, majini, malaika waovu, wana wa Mungu waliotumwa na Mungu kuja duniani kufundisha watu utukufu lakini wakaasi na Mungu akawalaani (au Wanefili) pamoja na nguva. Nguva ni uzao wa Wanefili na samaki wa baharini na malaika wauvu na wanapatikana zaidi katika Bahari ya Atlantiki, ambako mkuu wake ni Malkia wa Pwani, na katika Bahari ya Hindi ambako mkuu wake ni Malkia wa Bahari ya Hindi. Chini ya Bahari ya Hindi ndipo yalipo makao makuu ya ufalme wa giza hapa duniani.” PeopleHumansGodHellGlorySatanMiamiFishMermaidMunguFallen AngelsPuerto RicoThe WorldShetaniHeadquartersWatuYemenNephilimAtlantic OceanBermudaWanadamuSons Of GodDunianiIndian OceanJinnsKuzimuYemeniKingdom Of DarknessNguvaSamakiUfalme Wa GizaUtukufuWana Wa MunguBahari Ya AtlantikiBahari Ya HindiChini Ya Bahari Ya HindiGjiboutiJibutiMajiniMakao MakuuMalaika WauvuMalkia Wa Bahari Ya HindiMalkia Wa PwaniQueen Of The CoastQueen Of The Indian OceanUnder The Indian OceanWanefili Author:Enock Maregesi
“Unapokuwa mbali na Mungu unakuwa mbali na mwanga, unakuwa gizani, unakuwa mbali na joto, unakuwa katika baridi ya milele. Unapokuwa katika baridi ya milele rangi ya ngozi yako itabadilika na kuwa bluu. Macho yako yatakuwa makubwa kama ya nguva. Bluu maana yake ni kuwa mbali na maarifa ya Mungu. Nguva maana yake ni kuwa mbali na utukufu wa Mungu. Kuwa karibu na maarifa ya Mungu na utukufu wa Mungu, usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo.” GodLightDarknessBlueHeatEyesGlory Of GodMermaidMunguMachoKnowledge Of GodCoolMwangaChristian Of Jesus ChristChristian Of The ChurchMkristo Wa KanisaBaridiBluuChristian Of ReligionMkristo Wa DiniMkristo Wa Yesu KristoNasara Wa DiniNasara Wa KanisaNguvaGizaniJotoMaarifa Ya MunguNasara Wa Yesu KristoRangi Ya Ngozi YakoThe Color Of Your SkinUtukufu Wa Mungu Author:Enock Maregesi