“Shetani anatisha. Ana macho makubwa manane: macho ya serafi, macho ya mwanadamu, macho ya simba na macho ya tai, na ana mabawa makubwa sita yenye urefu wa futi sita mpaka nane kila moja. Ana rangi ya bluu, bluu iliyoiva, ambayo ni sehemu kubwa ya rangi ya kuzimu, na macho makubwa kama nguva wa Afrika. ‘Mtu’ wa namna hiyo akikwambia njoo nikupige kojoa kwanza ndiyo uende. Kukaa karibu na ‘mtu’ wa namna hiyo ni kujitafutia matatizo makubwa. Kuepukana naye, usiwe mkristo wa Shetani, usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo. Kwa maneno mengine, usiwe mkristo wa kufuata bendera, usiwe mkristo wa kinafiki – kuwa Mkristo wa kweli.” ChristianBlueEightSatanBig ProblemsShetaniHuman EyesDark BlueFlagEagle EyesMkristoTrue ChristianChristian Of Jesus ChristChristian Of The ChurchMkristo Wa KanisaBluuChristian Of ReligionMacho Ya TaiMkristo Wa DiniMkristo Wa KweliMkristo Wa Yesu KristoNasara Wa DiniNasara Wa KanisaSix FeetAfrican MermaidBenderaBluu IliyoivaChristian Of The DevilEight Big EyesFuti SitaHypocritical ChristianLion EyesMabawa Makubwa SitaMacho Makubwa MananeMacho Ya MwanadamuMacho Ya SerafiMacho Ya SimbaMatatizo MakubwaMkristo Wa KinafikiMkristo Wa ShetaniNaneNasara Wa ShetaniNguva Wa AfrikaRangi Ya KuzimuSatan ThreatensSeraphim EyesShetani AnatishaSix Large WingsThe Color Of Hell Author:Enock Maregesi
“Heri kuwa Mkristo wa Yesu Kristo, au Mwislamu wa Mtume Muhammad, kuliko kuwa mkristo wa kanisa au mwislamu wa msikiti.” ChristianJesus ChristMuslimYesu KristoProphet MuhammadMkristoChristian Of Jesus ChristChristian Of The ChurchMkristo Wa KanisaMwislamuMkristo Wa Yesu ChristoMtume MuhammadMuslim Of Prophet MuhammadMuslim Of The MosqueMwislamu Wa MsikitiMwislamu Wa Mtume Muhammad Author:Enock Maregesi
“Unapokuwa mbali na Mungu unakuwa mbali na mwanga, unakuwa gizani, unakuwa mbali na joto, unakuwa katika baridi ya milele. Unapokuwa katika baridi ya milele rangi ya ngozi yako itabadilika na kuwa bluu. Macho yako yatakuwa makubwa kama ya nguva. Bluu maana yake ni kuwa mbali na maarifa ya Mungu. Nguva maana yake ni kuwa mbali na utukufu wa Mungu. Kuwa karibu na maarifa ya Mungu na utukufu wa Mungu, usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo.” GodLightDarknessBlueHeatEyesGlory Of GodMermaidMunguMachoKnowledge Of GodCoolMwangaChristian Of Jesus ChristChristian Of The ChurchMkristo Wa KanisaBaridiBluuChristian Of ReligionMkristo Wa DiniMkristo Wa Yesu KristoNasara Wa DiniNasara Wa KanisaNguvaGizaniJotoMaarifa Ya MunguNasara Wa Yesu KristoRangi Ya Ngozi YakoThe Color Of Your SkinUtukufu Wa Mungu Author:Enock Maregesi