“Shetani anatisha. Ana macho makubwa manane: macho ya serafi, macho ya mwanadamu, macho ya simba na macho ya tai, na ana mabawa makubwa sita yenye urefu wa futi sita mpaka nane kila moja. Ana rangi ya bluu, bluu iliyoiva, ambayo ni sehemu kubwa ya rangi ya kuzimu, na macho makubwa kama nguva wa Afrika. ‘Mtu’ wa namna hiyo akikwambia njoo nikupige kojoa kwanza ndiyo uende. Kukaa karibu na ‘mtu’ wa namna hiyo ni kujitafutia matatizo makubwa. Kuepukana naye, usiwe mkristo wa Shetani, usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo. Kwa maneno mengine, usiwe mkristo wa kufuata bendera, usiwe mkristo wa kinafiki – kuwa Mkristo wa kweli.” ChristianBlueEightSatanBig ProblemsShetaniHuman EyesDark BlueFlagEagle EyesMkristoTrue ChristianChristian Of Jesus ChristChristian Of The ChurchMkristo Wa KanisaBluuChristian Of ReligionMacho Ya TaiMkristo Wa DiniMkristo Wa KweliMkristo Wa Yesu KristoNasara Wa DiniNasara Wa KanisaSix FeetAfrican MermaidBenderaBluu IliyoivaChristian Of The DevilEight Big EyesFuti SitaHypocritical ChristianLion EyesMabawa Makubwa SitaMacho Makubwa MananeMacho Ya MwanadamuMacho Ya SerafiMacho Ya SimbaMatatizo MakubwaMkristo Wa KinafikiMkristo Wa ShetaniNaneNasara Wa ShetaniNguva Wa AfrikaRangi Ya KuzimuSatan ThreatensSeraphim EyesShetani AnatishaSix Large WingsThe Color Of Hell Author:Enock Maregesi
“Msamaha si kwa ajili ya watu wenye mabawa ya kuku, ni kwa ajili ya watu wenye macho ya tai. Kua kuujua msamaha.” PeopleForgivenessWatuGrow UpChicken WingsMsamahaEagle EyesMacho Ya TaiKuaMabawa Ya Kuku Author:Enock Maregesi