“Mimi na wewe na vitu vyote ulimwenguni ni wazito kwa sababu ya 'Higgs Boson', inayojulikana pia kama 'The God’s Particle'. Wanasayansi wa CERN wamekuwa wakiitafuta 'higgs' (iliyojificha ndani ya 'higgs field') kwa zaidi ya miaka hamsini sasa, kwa bajeti ya pauni za Uingereza bilioni sita. Chembe ya 'higgs' ikipatikana itawajulisha wanasayansi jinsi ulimwengu unavyofanya kazi na jinsi ulivyoumbwa, na jibu la kitendawili cha 'Standard Model' litapatikana.” UniverseYouRiddleIAnswerScientistsMimiWeweCernHiggs BosonWanasayansiStandard ModelUlimwenguniJibuKitendawiliHiggsFifty YearsHiggs FieldMiaka HamsiniPauni Bilioni SitaSix Billion PoundsThe God S Particle Author:Enock Maregesi
“Kiongozi wa kanda ya Afrika ya Kusini ya Tume ya Dunia Kamishna Profesa Justin Mafuru, alijitolea maisha yake kufanya vitu viwili vya msingi kwa ajili ya dunia: Kukomesha madawa haramu ya kulevya nchini Tanzania na duniani kwa jumla, kupitia Tume ya Dunia, na kutafuta kupitia maabara za CERN ('Conseil Européen pour la Recherche Nucléaire') chembe ndogo ya 'higgs' ('Higgs Boson') inayosemekana kuhusika na uzito ('mass') wa chembe ndogo kumi na sita za atomu kasoro chembe ya mwanga; iliyopotea mara tu baada ya mlipuko wa ulimwengu wa 'Big Bang', miaka bilioni kumi na tatu nukta saba iliyopita kwa faida ya uanadamu.” WorldLifeLightUniverseMassDuniaBig BangMaishaTanzaniaIllegal DrugsProfessorAtomUlimwenguPhotonTume Ya DuniaCernHiggs BosonMadawa Ya KulevyaAtomuMwangaCommissionerProfesaKamishnaProfesa Justin MafuruProfessor Justin MafuruUzitoHiggsJustin Mafuru13 7 Billion Years AgoEradicate Illegal DrugsKukomesha Madawa Ya KulevyaMafuru Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita