“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu (Mithali 25:21-22). Yesu anasema jambo fulani linalofanana sana na hilo katika mafundisho Yake yaliyofuata (Mathayo 5:44-45). Kitendo cha kutukanwa, kupigwa, kushtakiwa au kulazimishwa kubeba mzigo mzito usio wa kwako kinaweza kusababisha mafutu mabaya kabisa katika asili ya binadamu. Yaani, chuki, hasira, ukatili na hata vurugu. Lakini pale wale waliobarikiwa kuwa na hekima wanapojikuta katika majaribu makubwa kama hayo tabia yao haitakiwi kuwa ya shari, inda au ya kulipiza kisasi. Bali inatakiwa kuwa ya kusaidia, kuwa na ridhaa ya kutenda mambo mema, na kuwa mwema kwa wengine siku zote.” WisdomJesusWaterLordEnemyFoodHatredAngerAdversityChaosHungerRevengeGoodTrialsDoctrineCrueltyBitternessBlessingsThirstyTeachingsEmbersYesuHekimaHasiraMemaMajiAduiChukiBwanaChakulaKing SolomonKisasiKiuMafundishoMajaribuNjaaFussinessHeavy LoadMatthew 5 44 45IndaMafutuMakaa Ya MotoMathayo 5 44 45Mfalme SulemaniMithali 25 21 22Mzigo MzitoProverbs 25 21 22ShariThawabuUkatiliVurugu Author:Enock Maregesi
“Mungu hutumia majaribu makubwa katika maisha yetu kutukomaza na kutukamilisha. Kitu kisichokuua hukufanya mpiganaji.” LifeGodTrialsFighterMatureMunguCompleteMaishaWhat Doesn T Kill YouMajaribuKamilikaKomaaMpiganajiKitu Kisichokuua Author:Enock Maregesi
“Tunapaswa kujisikia furaha kuu tunapokumbana na majaribu mbalimbali katika maisha yetu, tukijua kwamba kujaribiwa kwa imani yetu hutufanya wavumilivu na wapiganaji katika Jina la Yesu, na tunapaswa kuruhusu uvumilivu katika maisha yetu kwa sababu Mungu hutumia uvumilivu huo kutukomaza na kutukamilisha.” LifeGodHappinessJoyFaithFightingPerseveranceTrialsMatureMunguCompleteMaishaImaniFurahaUvumilivuMajaribuIn The Name Of JesusKamilikaKomaaKatika Jina La YesuUpiganaji Author:Enock Maregesi