“Pesa ni ya muhimu kwa sababu ya mahitaji ya lazima ya wanadamu kama vile chakula, maji, malazi, elimu, usafi, mavazi, na afya, lakini ni ya maana kwa sababu ya wanawake.” WomenWaterHuman BeingsMoneyEducationFoodHealthShelterSenseClothingBasic NeedsEssentialSanitationPesaElimuWanadamuMaanaMajiAfyaWanawakeChakulaMavaziMuhimuMahitaji Ya LazimaMalaziUsafi Author:Enock Maregesi
“Ukila chakula mwili wote unafaidi! Ukiomba kitu kwa Mungu omba kwa ajili ya wote.” GodFoodPrayMunguAllChakulaWoteOmba Author:Enock Maregesi
“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu (Mithali 25:21-22). Yesu anasema jambo fulani linalofanana sana na hilo katika mafundisho Yake yaliyofuata (Mathayo 5:44-45). Kitendo cha kutukanwa, kupigwa, kushtakiwa au kulazimishwa kubeba mzigo mzito usio wa kwako kinaweza kusababisha mafutu mabaya kabisa katika asili ya binadamu. Yaani, chuki, hasira, ukatili na hata vurugu. Lakini pale wale waliobarikiwa kuwa na hekima wanapojikuta katika majaribu makubwa kama hayo tabia yao haitakiwi kuwa ya shari, inda au ya kulipiza kisasi. Bali inatakiwa kuwa ya kusaidia, kuwa na ridhaa ya kutenda mambo mema, na kuwa mwema kwa wengine siku zote.” WisdomJesusWaterLordEnemyFoodHatredAngerAdversityChaosHungerRevengeGoodTrialsDoctrineCrueltyBitternessBlessingsThirstyTeachingsEmbersYesuHekimaHasiraMemaMajiAduiChukiBwanaChakulaKing SolomonKisasiKiuMafundishoMajaribuNjaaFussinessHeavy LoadMatthew 5 44 45IndaMafutuMakaa Ya MotoMathayo 5 44 45Mfalme SulemaniMithali 25 21 22Mzigo MzitoProverbs 25 21 22ShariThawabuUkatiliVurugu Author:Enock Maregesi
“Msamaha si jambo dogo. Watu wadogo, watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri, hawawezi kupambana na changamoto za msamaha. Msamaha ni kwa ajili ya watu wenye macho kama ya tai wanaoweza kuona mbali ambao wako tayari kushindwa vita ili washinde vita. Hewa inaingia ndani ya mapafu na kutoka; chakula kinaingia ndani ya mwili na kutoka; mwanamasumbwi anapigana bila kugombana; injini ya gari haiwezi kusukuma gari mbele au nyuma bila kutoa hewa katika paipu ya ekzosi. Lakini kile kinachoingia moyoni mwako hakitoki! Maumivu yanapoingia ndani ya moyo yanapaswa kutoka nje kama yalivyoingia kwa sababu, yasipotoka yatatengeneza sumu ndani ya moyo wako na yatatengeneza sumu ndani ya roho yako pia. Sumu hiyo itahatarisha safari yako ya mbinguni na Mungu hatakusamehe tena. Badala ya yule aliyekukosea kuumia, utaumia wewe uliyekosewa. Yesu anaposema samehe saba mara sabini hatanii. Usiposamehe, hutasamehewa.” HeartWarSoulGodBodyPainJesusAirCarFoodForgivenessSevenPoisonLungsVitaMunguYesuEngineBoxerMwiliMsamahaRohoSabaExhaustHewaSmall PeopleChakulaGariSeventyMapafuMoyoniSumuMaumivuInjiniChallenges Of ForgivenessChangamoto Za MsamahaEagle Like EyesLimited CapacityMacho Kama Ya TaiMwanamasumbwiPaipu Ya EkzosiSabiniSafari Yako Ya MbinguniUwezo MdogoWatu WadogoYour Journey To Heaven Author:Enock Maregesi
“Kula sana ni kujichimbia kaburi kwa meno yako mwenyewe.” DeathFoodEatingTeethGraveNutrientsDiseasesKifoChakulaKulaMenoVirutubishoKaburiMagonjwa Author:Enock Maregesi