“Msamaha si jambo dogo. Watu wadogo, watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri, hawawezi kupambana na changamoto za msamaha. Msamaha ni kwa ajili ya watu wenye macho kama ya tai wanaoweza kuona mbali ambao wako tayari kushindwa vita ili washinde vita. Hewa inaingia ndani ya mapafu na kutoka; chakula kinaingia ndani ya mwili na kutoka; mwanamasumbwi anapigana bila kugombana; injini ya gari haiwezi kusukuma gari mbele au nyuma bila kutoa hewa katika paipu ya ekzosi. Lakini kile kinachoingia moyoni mwako hakitoki! Maumivu yanapoingia ndani ya moyo yanapaswa kutoka nje kama yalivyoingia kwa sababu, yasipotoka yatatengeneza sumu ndani ya moyo wako na yatatengeneza sumu ndani ya roho yako pia. Sumu hiyo itahatarisha safari yako ya mbinguni na Mungu hatakusamehe tena. Badala ya yule aliyekukosea kuumia, utaumia wewe uliyekosewa. Yesu anaposema samehe saba mara sabini hatanii. Usiposamehe, hutasamehewa.” HeartWarSoulGodBodyPainJesusAirCarFoodForgivenessSevenPoisonLungsVitaMunguYesuEngineBoxerMwiliMsamahaRohoSabaExhaustHewaSmall PeopleChakulaGariSeventyMapafuMoyoniSumuMaumivuInjiniChallenges Of ForgivenessChangamoto Za MsamahaEagle Like EyesLimited CapacityMacho Kama Ya TaiMwanamasumbwiPaipu Ya EkzosiSabiniSafari Yako Ya MbinguniUwezo MdogoWatu WadogoYour Journey To Heaven Author:Enock Maregesi
“Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui yako (kwa mfano) akifiwa na mke aliyempenda sana, atajisikia vibaya kama utakavyojisikia vibaya kufiwa na mke uliyempenda sana. Kuwa na huruma kwa waliokukosea, wakati wa shida.” PeopleLoveGodPainHappinessHumanityCompassionEnemyWifeTroubleMercyDifficultyAffectionFeel GoodGenerosityEaseNeedSympathyProblemsBreakdownLukeMunguWatuLukaMatatizo100AduiFeel BadShidaHurumaMkeMaumivuAdui YakoHasimuyoLuka 6 27 36Your Enemy Author:Enock Maregesi
“Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6:27-36. Katika matatizo mpende hasimuyo. Maumivu ya watu hufanana.” PeopleLoveGodPainHappinessEnemyTroubleDifficultyEaseProblemsBreakdownLukeMunguWatuLukaMatatizo100AduiMaumivuAdui YakoHasimuyoLuka 6 27 36Your Enemy Author:Enock Maregesi