“Kuwa na huruma kwa malaika anayekulinda ni kujifunika kwa silaha kamili ya Mungu. Ukijifunika kwa panoplia utamrahisishia kazi malaika wako, aliyepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kukulinda.” CompassionAngelMalaikaHurumaNgao Kamili Ya MunguPanopliaFull Armor Of GodSilaha Kamili Ya Mungu Author:Enock Maregesi
“Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui yako (kwa mfano) akifiwa na mke aliyempenda sana, atajisikia vibaya kama utakavyojisikia vibaya kufiwa na mke uliyempenda sana. Kuwa na huruma kwa waliokukosea, wakati wa shida.” PeopleLoveGodPainHappinessHumanityCompassionEnemyWifeTroubleMercyDifficultyAffectionFeel GoodGenerosityEaseNeedSympathyProblemsBreakdownLukeMunguWatuLukaMatatizo100AduiFeel BadShidaHurumaMkeMaumivuAdui YakoHasimuyoLuka 6 27 36Your Enemy Author:Enock Maregesi
“Serikali haishirikiani na huruma katika kufanya maamuzi yake. Inashirikiana na akili.” GovernmentDecisionsSympathyIngenuityAkiliSerikaliMaamuziHuruma Author:Enock Maregesi
“Serikali haibabaishwi na huruma. Inababaishwa na akili.” GovernmentSympathyIngenuityAkiliSerikaliHuruma Author:Enock Maregesi
“Serikali haiendeshwi na huruma. Inaendeshwa na akili.” GovernmentSympathyIngenuityAkiliSerikaliHuruma Author:Enock Maregesi