“Shetani anapenda damu kumtumia Mungu kwa faida yake kama vile Mungu anavyomtumia Shetani kwa faida yake. Mungu anamtumia Shetani kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu, na Shetani anamtumia Mungu kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu. Mungu anaishi ndani ya damu na damu ina nguvu kuliko Shetani.” HumansGodBloodPunishmentSatanMunguBenefitShetaniAgentBinadamuDamuFaidaAdhabuWakala Author:Enock Maregesi
“Mungu ni mtakatifu na kwa maana hiyo hatendi dhambi. Hivyo, hauwi wala hatesi. Tunajiua na kujitesa wenyewe. Ametupa hiari ya kuchagua mema au mabaya. Lakini anamtumia Shetani kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu pale tunapoenenda sawasawa na machukizo yake. Damu ina nguvu kuliko Shetani na ina nguvu kuliko kuzimu. Unapojifunika kwa damu ya Mwanakondoo, Shetani hataweza kukuona. Hivyo, hataweza kukudhuru. Lakini usipojifunika kwa damu ya Mwanakondoo, Shetani atakuona. Hivyo, atakudhuru. Atakudhuru kwa sababu Mungu atakuwa ameruhusu akudhuru, kwa sababu ya uhuru wa kuchagua mema au mabaya aliotupatia, ijapokuwa ana uwezo wa kuzuia asikudhuru. Kwa mtindo huo Mungu anakuwa ametoa adhabu kwa binadamu.” HumansGodFreedomHolyGoodPunishmentSatanChoiceBadMunguSinsShetaniAbhorrenceAgentDhambiBinadamuMabayaMemaUhuruBlood Of The LambAdhabuDamu Ya MwanakondooWakalaHiariMachukizoMtakatifu Author:Enock Maregesi
“Damu ya Mwanakondoo ina nguvu kuliko maombi. Mungu hauwi, Anamtumia Shetani kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu. Ukifunikwa na damu ya Mwanakondoo Shetani, ambaye ni wakala, hatakuona. Lakini Mungu atakuona. Bila kafara ya damu hakuna msamaha wa dhambi. Bila kafara ya damu hakuna mafanikio.” HumansGodSuccessSatanPrayersMunguShetaniForgiveness Of SinsAgentMafanikioBinadamuBlood SacrificeMaombiBlood Of The LambDamu Ya MwanakondooWakalaKafara Ya DamuMsamaha Wa Dhambi Author:Enock Maregesi
“Shetani naye anamtumia Mungu kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu kwa sababu Shetani siku hizi anaishi makanisani na misikitini. Anamtumia Mungu kwa maana ya kutuingiza dhambini huku tunaona, tukiwa mbele ya uwepo wa Mungu tunayemwabudu.” HumansGodPunishmentSatanPresence Of GodMunguMosquesShetaniChurchesAgentBinadamuAdhabuWakalaMakanisaniMisikitiniUwepo Wa Mungu Author:Enock Maregesi