“Neno moja kutoka mdomoni mwako linaweza kukuletea madhara makubwa. Waweza kusema kitu ukadhani umepatia kumbe umeharibu. Fikiria kwanza maana ya kitu unachosema, halafu sema.” PeopleCarefulTongueHarmDamageThinkUniquenessWordTalkStrangersMouthCarefulnessEnock MaregesiEnockMaregesiEnock Abiud MaregesiAbiudUniqueness Of Individuals Author:Enock Maregesi
“Kuwa mwangalifu unapoongea na watu. Huwajui!” PeopleCarefulTongueHarmDamageThinkUniquenessWordTalkStrangersMouthCarefulnessEnock MaregesiEnockMaregesiEnock Abiud MaregesiAbiudUniqueness Of Individuals Author:Enock Maregesi
“Sikujui.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestUniquenessBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi Author:Enock Maregesi
“Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii. Zifuatazo ni ngazi tano muhimu zitakazofanya uache dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta: Tambua vitu vya muhimu katika maisha yako ijapokuwa unaweza kuacha alama katika dunia bila kujitambua baada ya kuondoka; Tumia kipaji ulichopewa na Mungu; Fanya kazi kwa bidii na maarifa; Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia; Kuwa makini na kila kitu unachofanya kwa maana ubongo ni kitu cha ajabu, ubongo una uwezo wa kukupotosha.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Ukitambua vitu vya muhimu katika maisha yako hapa duniani na kuvipa kipaumbele cha kwanza, ukatumia kipaji ulichopewa na Mungu na ukafanya kazi kwa bidii na maarifa, halafu ukashindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia, ukafanya kila kitu kwa makini ukihofia maamuzi ya ubongo wako, utaacha urithi kwa faida ya vizazi vijavyo. Kuwa na akili, kuwa na uwezo wa kujiwekea malengo, kuwa mchapakazi hodari. Namna hiyo, hakuna kitakachoweza kushindikana.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Tambua vitu vya muhimu katika maisha yako ijapokuwa unaweza kuacha alama katika dunia bila kujitambua baada ya kuondoka.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Kuwa makini na kila kitu unachofanya kwa maana ubongo ni kitu cha ajabu, ubongo una uwezo wa kukupotosha.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Tumia kipaji ulichopewa na Mungu.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Fanya kazi kwa bidii na maarifa!” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi