Maregesi Quotes
Browse 25 quotes about Maregesi.
Maregesi Quotes
“Nimewapa watoto wangu kila kitu katika maisha isipokuwa umaskini. Lakini bado wamenishinda.”
“Maskini mwenye pesa nyingi ni tajiri bahili. Tajiri mwenye mifuko iliyotoboka ni tajiri badhiri.”
“Toa msaada katika jamii iliyosaidia kukulea ulipokuwa mdogo.”
“Ukiipenda sana nchi yako ni rahisi sana kuichukia serikali yake!”
“Ukitaka kufanikiwa katika maisha yako kuwa tayari kuitwa mjinga au mpumbavu.”
“Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia.”