“Usimwabudu mungu mwingine isipokuwa Mungu. Usimwabudu mtu, mnyama, sanamu, samaki, au usiziabudu fikira zako kichwani. Usiitumikie kazi, mali, mila, anasa, siasa, wala usiyatumikie mamlaka au usiutumikie umaarufu au ufahari, kuliko Mungu. Ukiithamini kazi, mali, mila, anasa, siasa au ukiyathamini mamlaka, au ukiuthamini umaarufu au ufahari zaidi kuliko Mungu, au ukiyapa majukumu yako muda mwingi zaidi kuliko Mungu umeabudu miungu; wakati ulipaswa kumwabudu Mungu peke yake. Usiwe na vipaumbele vingine vyovyote vile katika maisha yako zaidi ya Mungu, kwani Mungu ni Mungu mwenye wivu.” IdeasGodTimePoliticsAnimalFameAuthorityPropertyPrioritiesLuxuryManJobGodsYour LifePrestigeFishWorship GodMunguResponsibilitiesMtuMaliCustomStatueKaziMudaMaisha YakoMamlakaMnyamaMiunguSiasaMilaSanamuAnasaFikiraJealous GodSamakiUmaarufuKumwabudu MunguMajukumuMungu Mwenye WivuUfahariVipaumbele Author:Enock Maregesi
“God is the source of all your legitimate needs and He must be the One to satisfy them.” ContentmentChristian LivingChristian QuotesIdolatryModernismFollowing JesusLoving The WorldJealous GodModern Day Idol Author:Kingsley Opuwari Manuel