“Mwanampotevu dunia ilimfundisha ndiyo maana akarudi kwa baba yake akiwa amenyooka, hakuwa na maadili mema. Yusufu dunia ilimfundisha ndiyo maana akawa waziri mkuu wa Misri, na ndiyo maana akaokoa familia yake kutokana na njaa, alikuwa na maadili mema. Heri kudharaulika kwa kutenda mema kuliko kudharaulika kwa kutenda maovu. Ukidharaulika kwa kutenda maovu hutaishi sawasawa na mapenzi ya Mungu. Ukidharaulika kwa kutenda mema Mungu atakuinua.” EvilFatherFamilyHungerBabaFamiliaProdigal SonJosephWill Of GodMapenzi Ya MunguGood ConductMaadili MemaNjaaYusufuMaovuTaught By The WorldDunia IlimfundishaEgypt Prime MinisterMwanampotevuThe Lost SonWaziri Mkuu Wa Misri Author:Enock Maregesi