“Mwanampotevu dunia ilimfundisha ndiyo maana akarudi kwa baba yake akiwa amenyooka, hakuwa na maadili mema. Yusufu dunia ilimfundisha ndiyo maana akawa waziri mkuu wa Misri, na ndiyo maana akaokoa familia yake kutokana na njaa, alikuwa na maadili mema. Heri kudharaulika kwa kutenda mema kuliko kudharaulika kwa kutenda maovu. Ukidharaulika kwa kutenda maovu hutaishi sawasawa na mapenzi ya Mungu. Ukidharaulika kwa kutenda mema Mungu atakuinua.” EvilFatherFamilyHungerBabaFamiliaProdigal SonJosephWill Of GodMapenzi Ya MunguGood ConductMaadili MemaNjaaYusufuMaovuTaught By The WorldDunia IlimfundishaEgypt Prime MinisterMwanampotevuThe Lost SonWaziri Mkuu Wa Misri Author:Enock Maregesi
“Lakini ukweli ni upi? Ukweli ni kwamba utajiri una changamoto nyingi kuupata na kuudumisha pia kuliko usomi na kwamba ukweli ni amani ya Mungu katika moyo wa mwanadamu. Heri msomi kuliko tajiri – Heri yule aliyesoma kuliko tajiri asiyesoma au yule aliyesoma kuliko vile alivyosoma tajiri au tajiri asiyesoma au aliyesoma lakini asiyekuwa na tamaa kabisa na dunia hii ambaye kukosa kwake tamaa na dunia hii kunamfanya msomi. Ndivyo Kristo anavyomaanisha. Si kwamba tajiri hawezi kuuona ufalme wa mbinguni. Ibrahimu, Isaka, Yakobo, Yusufu, Daudi, Sulemani, Yehoshafati, Hezekia, Zakayo, Yoana, Susana, na Lidia watauona ufalme wa mbinguni na walikuwa matajiri. Mali zao zilivyozidi hawakuangalia moyoni, hawakuwa na tamaa kabisa na dunia hii, bali walimtumaini Mungu kwa kila kitu walichokuwa nacho. Anaweza. Lakini asiipende dunia bali ayapende mambo ya ufalme wa Mungu kwa moyo wake wote.” HeartTruthChristChallengesWealthRichPropertyEducatedAbrahamJacobIsaacSolomonDavidAmaniJosephMaliTajiriMoyoUkweliGod S KingdomUtajiriSusanLidiaKristoPeace Of GodIbrahimuMsomiYakoboChangamotoDaudiIsakaUfalme Wa MbinguniYusufuDunia HiiHuman S HeartSulemaniZakayoHezekiaHezekiahMoyo Wa MwanadamuPeace Ya MunguSusanaYehoshafatYehoshafatiYoanaZacchaeus Author:Enock Maregesi
“Yusufu alikuwa hohehahe kabla na baada ya kuuzwa na nduguze kama mtumwa nchini Misri. Hakuwa na pesa, hakuwa na elimu, hakujuana na viongozi wa serikali. Lakini kwa vile alikuwa na Mungu, Mungu alimbariki mpaka watu wote wakashangaa. Yusufu alikuwa maskini ili mimi na wewe tuwe na tumaini leo, kwamba tukiwa na Mungu katika maisha yetu hatutatafuta utajiri. Utajiri ndiyo utakaotutafuta sisi.” PeopleGodGovernmentTodayHopeMoneyEducationSlaveLeadersEgyptSiblingsMunguIWeDestituteWatuJosephLeoPesaMimiSerikaliUtajiriElimuSisiMisriNduguYusufuMtumwaTumainiHohehaheMaisha LifeViongozi Author:Enock Maregesi