“Kama umefanya au umesema kitu kibaya na ukasema ukweli mbele ya mtu au ya watu, omba msamaha kupata tena kibali cha umma.” PeopleTruthForgivenessApprovalPersonPublicThingWatuMtuUkweliMsamahaKituKibaliUmma Author:Enock Maregesi
“Ukisema ukweli utapata uhuru wa nafsi. Ukisema uongo utapata uhuru wa umma. Heri uhuru wa nafsi kuliko wa umma.” SelfTruthFreedomLiePersonPublicUkweliUhuruNafsiUmmaUongo Author:Enock Maregesi
“Wananchi wataendelea kuwepo hata kama serikali haitakuwepo. Serikali haiwezi kuwashinda wananchi. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu. Serikali haiwezi kumshinda Mungu.” CountryGodGovernmentFearVoicePowerCitizensPatriotismAnarchismMunguPublicJingoismSerikaliNchiMamlakaWogaSautiUzalendoWananchiUmmaUtawala Huria Author:Enock Maregesi