“Wananchi wakiamua kufanya kitu katika nchi yao kwa asilimia 100 serikali, na taasisi zake zote, haitaweza kuwazuia. Kwa sababu, mamlaka ya wananchi hushinda ya serikali.” CountryGovernmentFearPowerCitizensInstitutionsPatriotismJingoismSerikali100NchiMamlakaWogaUzalendoWananchiTaasisi Author:Enock Maregesi
“Kama huijui historia ya Zanzibar kwa nini unajiita Mtanzania? Uzalendo ni pamoja na kuijua nchi yako.” HistoryPatriotismHistoriaZanzibarYour CountryNchi YakoUzalendoMtanzaniaTanzanian Author:Enock Maregesi
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa bendera ya taifa letu! Alikuwa alama ya amani, haki, uhuru, ujamaa, uzalendo, na Tanzania.” FreedomSocialismPatriotismRightTanzaniaUhuruHakiMwalimu Julius Kambarage NyerereUzalendoFlag Of Our NationUjamaaAlama Ya AmaniBendera Ya Taifa LetuSymbol Of Peace Author:Enock Maregesi
“Wananchi wataendelea kuwepo hata kama serikali haitakuwepo. Serikali haiwezi kuwashinda wananchi. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu. Serikali haiwezi kumshinda Mungu.” CountryGodGovernmentFearVoicePowerCitizensPatriotismAnarchismMunguPublicJingoismSerikaliNchiMamlakaWogaSautiUzalendoWananchiUmmaUtawala Huria Author:Enock Maregesi