“Marafiki zako wa mwanzo ambao bado ni marafiki zako mpaka sasa ni wazuri kuliko wote kutokana na sababu mbalimbali: Wamekuwepo pamoja nawe katika shida na raha; wanakujua vizuri unapokuwa na furaha, na wanakujua vizuri unapokuwa na huzuni; mmezoeana kwa miaka mingi na wanaujua hata utani wako wa ndani; wanajua nini unapendelea zaidi na nini hupendelei zaidi, na wanazijua sifa zako za ushupavu na sifa zako za udhaifu. Hata hivyo, katika maisha yetu, tunahitaji marafiki wa aina zote mbili kurahisisha maisha. Marafiki wapya hutuongezea viungo muhimu katika maisha yetu wakati marafiki wa mwanzo ni nguzo au miamba imara ya maisha yetu, na ndiyo watu hasa watakaotusaidia katika shida na raha! Usiwapoteze au usiwaache marafiki zako wa mwanzo lakini jenga mahusiano mapya. Marafiki zako wa mwanzo ni dhahabu, wa sasa ni fedha.” LifeHappinessFriendshipSadnessWorstFriendsGoldLikesFormerSilverBestBest FriendsBetterOld FriendsNew FriendsFriendship True And LoyalWeaknessesStrengthsDislikesInside JokesFriendship ToleranceOld FriendshipsBest Friends Broken Author:Enock Maregesi
“I am an optimist and when I am too sure of something or someone, well, of course it turns out that I am wrong .. at other situations, I imagine the worst and needless to say, I am again wrong” SituationImagineWorstHumourOptimismWrongBestTurn Out Author:Sanhita Baruah
“Always lust for the best, because life is too short to be an ordinary.” LifeLustBest Book:The Cavalier Source: The Cavalier
“God loves His people despite their sins and faults.” PeopleLoveGodChristianFaithBestSinsFaultTheir Author:Jim George
“Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii. Zifuatazo ni ngazi tano muhimu zitakazofanya uache dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta: Tambua vitu vya muhimu katika maisha yako ijapokuwa unaweza kuacha alama katika dunia bila kujitambua baada ya kuondoka; Tumia kipaji ulichopewa na Mungu; Fanya kazi kwa bidii na maarifa; Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia; Kuwa makini na kila kitu unachofanya kwa maana ubongo ni kitu cha ajabu, ubongo una uwezo wa kukupotosha.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Ukitambua vitu vya muhimu katika maisha yako hapa duniani na kuvipa kipaumbele cha kwanza, ukatumia kipaji ulichopewa na Mungu na ukafanya kazi kwa bidii na maarifa, halafu ukashindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia, ukafanya kila kitu kwa makini ukihofia maamuzi ya ubongo wako, utaacha urithi kwa faida ya vizazi vijavyo. Kuwa na akili, kuwa na uwezo wa kujiwekea malengo, kuwa mchapakazi hodari. Namna hiyo, hakuna kitakachoweza kushindikana.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Tambua vitu vya muhimu katika maisha yako ijapokuwa unaweza kuacha alama katika dunia bila kujitambua baada ya kuondoka.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi
“Kuwa makini na kila kitu unachofanya kwa maana ubongo ni kitu cha ajabu, ubongo una uwezo wa kukupotosha.” WorldLifeGodFunnyBrainStepsKnowledgeSocietyIndustryMarkCompetitionMemoryLegacyLiveBestBetter PlaceTalentsDistortionThingsHardworkingCarefulnessKolonia SantitaEnock MaregesiEnockMaregesiLaanaEnock Abiud MaregesiKoloniaAbiudPantheraSantitaTigrisiI Don T Know YouLaana Ya Panthera Tigrisi88 Author:Enock Maregesi