“Nyota ni kipaji, kipawa, takdiri, karama, au uweza; ni kiashiria cha rohoni kinachoonyesha mtu atakuwa nani baadaye, mafanikio ya mtu, au takdiri ya maisha ya mwanadamu. Unabii na nyota ya ufalme ni kibali cha Mungu katika maisha ya mtu. Kupata kibali hicho, tembea na watu sahihi katika maisha yako (tembea na watu ambao Mungu amekuchagulia kushika funguo za takdiri ya maisha yako). Tamka na kukiri kibali cha Mungu katika maisha yako yote. Panda mbegu za kibali cha Mungu katika udongo wa maisha yako. Jifunze kutenda mema bila malipo, kwani wema ni mbegu ya kibali cha Mungu. Jali mambo ya ufalme wa Mungu.” PeopleLifeSuccessDestinyTalentKeysHumanSeedsGoodGiftManSoilGoodsProphecyStarMaishaWatuMtuGod S PowerMafanikioRight PeopleKipajiMemaMbeguWemaNyotaTakdiriUdongoUnabiiMwanadamuWatu SahihiFunguoGod S ApprovalGracious GiftKaramaLive Like A KingNyota Ya UfalmeKibali Cha MunguKipawaUweza Author:Enock Maregesi
“Elimu ni ufunguo wa maisha lakini wengine funguo zao zina kutu!” EducationKeysRustKeyElimuFunguoUfunguoKutu Author:Enock Maregesi