“Siri ya mafanikio yako ni chumba chako. Dali linasema anga ndicho kipimo cha kufikiria; Dirisha linasema utazame nje uone fursa zilizopo ulimwenguni; Feni linasema uwe mtulivu usikurupuke kufanya lolote; Kalenda inasema uwe mtu anayekwenda na wakati; Kioo kinasema ujitazame na ujiamini kabla ya kutenda lolote; Kitabu cha dini kinasema unapaswa kumwamini Mungu ili uishi; Kitanda kinasema ujifunze kuwa na likizo; Mlango unasema usipitwe na fursa ya aina yoyote ile hapa duniani; Saa inasema kila sekunde ina thamani sana katika maisha yako hivyo tumia muda wako vizuri. Amka uishi.” LifeGodSuccessSecretSkyBedWindowHolidayOpportunitiesMirrorMunguDoorLimitWatchRoomMaishaSecondMafanikioSiriCalendarFanCeilingDaliSekundeFursaReligious BookSaaKiooChumbaDirishaKipimoMlangoAngaFeniKalendaKitabu Cha DiniKitandaLikizoSiri Ya Mafanikio YakoThe Secret Of Your Success Author:Enock Maregesi
“Hata kama unadaiwa, pokea simu ukipigiwa. Unaweza kupoteza fursa.” OpportunitiesTelephoneSimuFursa Author:Enock Maregesi
“Kila mtu kabla ya kuzaliwa alipewa na Mwenyezi Mungu unabii na nyota ya ufalme. Una bahari ya fursa ya kuwa kitu chochote unachotaka kuwa katika dunia hii. Kama unataka furaha, furaha iko ndani yako. Kama unataka utajiri, utajiri uko ndani yako. Kama unataka amani, amani iko ndani yako. Kama wewe ni tone na fursa ni bahari, wewe ni bahari ndani ya tone.” WorldGodHappinessOpportunityPeaceWealthOceanToneProphecyWillpowerMunguDuniaAmaniDropMwenyezi MunguGod AlmightyUtajiriFurahaUnabiiFursaBahariBahari Ndani Ya ToneLive Like A KingNyota Ya UfalmeMoyo Wa KuthubutuOcean In The DropUtashiWewe Ni Bahari Ndani Ya ToneYou Are The Ocean In The Drop Author:Enock Maregesi
“Abra maana yake ni fursa. Kwa hiyo, geuza matatizo yako kuwa fursa. Lakini, utageuzaje matatizo yako kuwa fursa? Kugeuza matatizo yako kuwa fursa, amini kama unaweza, usitumie muda mwingi kufikiria tatizo, tumia muda mwingi kufikiria fursa. Ukipata tatizo usikate tamaa. Badala yake, geuza tatizo hilo kuwa faida.” NeedsOpportunityProfitProblemsDon T Give UpBelieve You CanMatatizoAbraFaidaUsikate TamaaFursaAmini Kama Unaweza Author:Enock Maregesi