“Maarifa unayoyatafuta katika Biblia, Kurani au Yoga ('Oriental Yoga': 'esoteric knowledge': maarifa ya kujua siri ya uumbaji wa Mungu ya 'Kabbalah' ya Kiyahudi au 'Kalachakra' ya Kibudha ya bara la Asia; siri ya sayansi ya kurefusha maisha ya mafundisho ya kiroho ya 'Arcanum' ya Misri – au Kemia ya Mungu au 'Alchemy'; mafundisho ya kiroho ya 'Rosicrucia' ya bara la Ulaya tangu mwishoni mwa karne ya kumi na nne; 'sex magic', 'sex magic' inaweza kukupa utajiri au umaskini hivyo kuwa makini; n.k.) ni hekima na busara. Vingine vyote vitajileta vyenyewe.” LifeGodScienceWealthSecretPovertyKnowledgeCreationYogaBibleDoctrineQuranMunguMaishaKabbalahBibliaSiriMaarifaUtajiriUmaskiniSex Magic14th CenturyEsoteric KnowledgeSayansiHekima Na BusaraUumbajiKuraniAsian ContinentBara La AsiaBara La UlayaEuropean ContinentKalachakraKarne Ya 14Maarifa Ya NafsiMafundisho Ya KirohoOriental YogaRosicruciaWisdom And KnowledgeYoga Ya Mashariki Ya Mbali Author:Enock Maregesi
“Nini kingetokea kama Adamu na Hawa wasingekula tunda la Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya mpaka siku ya Sabato? Mungu angewaruhusu kula na lengo la uumbaji wa Mungu lingekamilika. Wanadamu wakifuata Amri Kumi za Mungu katika maisha yao watakuwa na uwezo maalumu ambao baadaye utawawezesha, kupitia Roho Mtakatifu, kuwa na maarifa ya siri ya uumbaji wa Mungu.” MenLifeGodKnowledgeCreationCapacityFruitHoly SpiritAdamSabbathTen CommandmentsMunguMaishaEveMaarifaSabatoUwezoWanadamuRoho MtakatifuGod S CreationAdamuHawaAmri Kumi Za MunguTundaUumbajiUumbaji Wa MunguMti Wa Maarifa Wa Mema Na Mabaya Author:Enock Maregesi
“Sabato ilianzishwa na Mungu siku ya saba ya uumbaji wake. Siku ya Sabato ni siku takatifu, iliyoko katika Amri Kumi za Mungu, ambayo hatuna budi kuitunza na kuiheshimu. Sheria ya Siku ya Sabato haikufa baada ya kifo cha Yesu Kristo msalabani kama Wakolosai wanavyodai. Wakolosai walifuata falsafa za kipagani, na walizileta falsafa hizo ndani ya mwili wa Kristo ambalo ni kanisa. ‘Usiiamini’ Wakolosai 2:17. Iamini Wakolosai 2:20-23, ambapo Paulo anafundisha Mataifa jinsi ya kuitunza Sabato, na 1 Wakorintho 12:27 ambayo inatoa maana halisi ya Wakolosai 2:17. ‘Mwili wako ni wa Kristo’ ni tofauti na ‘mwili wa Kristo’ na ni tofauti na kanisa. Ukiamini kama mwili wako ni wa Kristo na ni kanisa, utaitunza Sabato.” GodBodyDeathChurchCreationJesus ChristSabbathTen CommandmentsMunguGentilesPaulYesu KristoMwiliSabatoKifoColossiansPauloAmri Kumi Za MunguKanisaMataifaUumbaji1 Corinthians 12 271 Wakorintho 12 27Christ S BodyColossians 2 17Colossians 2 20 23Falsafa Za KipaganiHoly DayLaw Of The SabbathMwili Wa KristoPagan PhilosophiesSeven S DaySheria Ya Siku Ya SabatoSiku TakatifuSiku Ya SabaWakolosaiWakolosai 2 17Wakolosai 2 20 23 Author:Enock Maregesi