“Meja Jenerali U Nanda, 60, Kiongozi wa Kanda ya Asia-Australia ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya, alizaliwa Jumamosi ya tarehe 19/03/1932 kandokando ya mto huko Maubin nchini Bama. Yeye na familia yake ni waumini wa dini ya Ubuda. Mke wake, Daw Aung Phyu, ana miaka 57. Alizaliwa Jumapili ya tarehe 20/10/1935. Nanda na Aung Phyu wana watoto watatu. Ko Mahn Thiri (wa kiume na wa kwanza kuzaliwa) ana miaka 37. Alizaliwa Alhamisi ya tarehe 08/12/1955. Yeye na familia yake wanakaa nchini Tailandi. Ma Nang Nyi ni mtoto wa pili wa familia ya Nanda na Aung Phyu. Alikufa kwa madawa ya kulevya Jumamosi ya tarehe 12/05/1980 akiwa na miaka 23. Alizaliwa Jumamosi ya tarehe 06/04/1957. Miaka miwili baadaye mpenzi wake wa kiume, Ko San Pe, alikufa kwa madawa ya kulevya pia Jumatano ya tarehe 21/07/1982 akiwa na miaka 25. Alizaliwa Jumanne ya tarehe 29/01/1957. Ma Thida Wai Aung ni wa mwisho kuzaliwa. Ana miaka 34. Alizaliwa Jumatano ya tarehe 23/07/1958. Anakaa Rangoon na mume wake wa miaka sita na watoto wawili, wa kike na wa kiume. Saw Saya (Mkurugenzi wa Sekretarieti ya Kanda ya Asia-Australia ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya, kutoka katika kabila la Karen) ndiye aliyempa taarifa U Nanda za kikao cha dharura cha Tume ya Dunia. Ana miaka 54. Alizaliwa Jumanne ya tarehe 01/03/1938.” ChildrenReligionLeaderFamilyInformationBuddhismHusbandSundaySaturdayDarlingRiverTuesdayWednesdayThursdayFamiliaThailandNarcoticsWatotoTume Ya DuniaKiongozi2560DiniMadawa Ya KulevyaTaarifa2337JumapiliWorld CommissionJumatano54BamaJumanneNandaRangoon57AlhamisiAsia AustraliaKikao Cha DharuraMaubinMtoMumeTailandiU Nanda01 03 193806 04 195708 12 195512 05 198019 03 193220 10 193521 07 198223 07 195829 01 195734Aung PhyuDaw Aung PhyuJumamosiKo Mahn ThiriKo San PeMa Nang NyiMa Thida Wai AungMahn ThiriMajor General U NandaMeja Jenerali U NandaMpenziNang NyiSan PeSaw SayaThida Wai AungUbudha Author:Enock Maregesi
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari. Unahangaika upite wapi kufika baharini, ambapo utaogelea kwa kadiri utakavyoweza. Utakapofika baharini, watu, badala ya kusema umebarikiwa, watasema umelaaniwa, badala ya kukuita malaika, watakuita shetani. Mafanikio hayapimwi kwa pesa au mali kiasi gani unayo, mafanikio yanapimwa kwa amani ya moyo au maisha ya watu kiasi gani umeboresha.” PeopleLifeGodSuccessMoneySeaTalentOceanAngelPropertyCurseSatanRiverMunguShetaniMaishaWatuPeace Of HeartMaliPesaMafanikioLaanaKipajiMalaikaAmani Ya MoyoMtoBahariniEntrance To The SeaMlango Wa Bahari Author:Enock Maregesi