“Mungu anachotaka kutoka kwako ni kuzitambua dhambi zako na kuziungama. Yesu alikuwa dhambi kwa ajili yetu. Alikubali kulaumiwa badala ya sisi kulaumiwa. Omba maghufira kwa Mungu kwa makosa uliyofanya.” GodJesusMistakesMunguSinsYesuDhambiMakosaForgiveness From Almighty GodMaghufira Author:Enock Maregesi
“Yesu alipokuwa msalabani watu wengi walimzunguka. Askari wa Kirumi aliyekuwa na chongo, na mkuki, alikuwa na jukumu la kumtesa Yesu hadi kufa kwa amri ya Pilato. Yesu alipolia kwa sauti kuu, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?”, yule askari alikurupuka na kumwendea Yesu. Lakini Yesu alishakata roho. Kuthibitisha kama Yesu alishakata roho, askari alimchoma Yesu mkuki kwenye mbavu kwa nguvu zake zote. Mkuki huo ukamtoboa Yesu hadi upande wa pili, ukatoboa hata moyo wake. Askari alipochomoa mkuki, damu na maji viliruka na kupiga jicho lake bovu. Papo hapo askari akapona na kuona vizuri. Alipoona kweli amepona na kuona vizuri, askari alipiga kelele, alipiga magoti na kuomba Mungu amsamehe dhambi zake. Msamaha una nguvu kuliko dhambi. Askari huyo atakwenda mbinguni. Haijalishi umechukia watu kiasi gani. Haijalishi umetesa watu kiasi gani. Haijalishi umeua watu kiasi gani. Haijalishi umetenda dhambi kiasi gani. Mungu anachotaka kutoka kwako, tubu.” HeartGodEyeJesusHeavenForgivenessApologyRepentRibsCrossMunguSinsYesuDhambiMoyoMsamahaMbinguniMany PeopleSpearBlood And WaterMkukiDamu Na MajiMsalabaniAskari Wa KirumiRoman SoldierEloi Eloi Lama SabakthaniJichoWatu WengiAmri Ya PiratoChongoMbavuMono EyedPirate OrdersTubu Author:Enock Maregesi
“Shetani anaogopa viumbe saba tu hapa duniani na huko mbinguni ukimwondoa Mungu, ambaye anaogopwa na kila kiumbe: Malaika Mikaeli, Malaika Gabrieli, Malaika Rafaeli, Malaika Urieli, Malaika Selafieli, Malaika Ragueli, na Malaika Barakieli, ambao ni malaika wakuu; na tukio ambalo Shetani analiogopa zaidi ni tukio la kurudi kwa Yesu kwa mara ya pili ambalo limekaribia sana, na atafanya kila atakachoweza kabla ya tukio hilo kuchukua roho zetu. Lengo la Shetani ni kuua kila mtu duniani kumkomoa Mungu na malaika wakuu na kutupeleka kuzimu. Lakini atashindwa kwa jina la Yesu.” GodHeavenHellSatanAngelsMunguThe WorldShetaniCreatureArchangelsMbinguniMalaikaDunianiKuzimuSecond Coming Of JesusIn The Name Of JesusAngel BarachielAngel GabrielAngel MichaelAngel Raguel Or AngelAngel RaphaelAngel SelaphielAngel UrielJegudielKiumbeKurudi Kwa Yesu Kwa Mara Ya PiliKwa Jina La YesuLengo La ShetaniMalaika BarakieliMalaika GabrieliMalaika MikaeliMalaika RafaeliMalaika RagueliMalaika SelafieliMalaika UrieliMalaika WakuuOur SoulsRoho ZetuSeven CreaturesThe Objective Of The DevilViumbe Saba Author:Enock Maregesi
“Shetani alikuwa kiumbe mzuri kuliko wote mbinguni na ulimwenguni. Mungu alimpendelea. Alikuwa mzuri kuliko malaika wote na alikuwa na nguvu kuliko kiumbe mwingine yoyote yule aliyeumbwa na Mungu, akiwemo binadamu. Lakini alipotupwa kutoka mbinguni kuja duniani kama Adamu na Hawa walivyotupwa kutoka bustanini kuja duniani, Shetani alipoteza sifa yake. Alipoteza sifa yake kwa sababu ya dhambi aliyoitenda, dhambi ya kiburi, na kwa sababu ya kuwa mbali na utukufu wa mbinguni. Badala ya kuwa kiumbe mzuri kuliko wote, Shetani akawa kiumbe mbaya kuliko wote. Mungu akaahidi kutokumsamehe, kwa sababu yeye ndiye kiumbe wa kwanza kutenda dhambi mbinguni na ulimwenguni, kwani hakushawishiwa na mtu kumuasi Mungu.” GodHeavenSinHumanReputationSatanAngelsAdam And EveMunguThe WorldShetaniThe UniverseDhambiBinadamuMbinguniMalaikaDunianiSifaAdamu Na HawaUlimwenguniThe GardenBeautiful CreatureBustaniniDhambi Ya KiburiDisobeying GodHeavenly GloryKiumbe MbayaKiumbe MzuriKumuasi MunguThe Sin Of PrideUgly CreatureUtukufu Wa Mbinguni Author:Enock Maregesi
“Utajiri wa mbinguni ni wa milele na mungu wake ni Yehova. Utajiri wa duniani ni wa muda na mungu wake ni Mammon. Mammon, ambaye hata Yesu alimtaja katika Injili ya Mathayo 6 na katika Injili ya Luka 16, ni mungu wa uchoyo na utajiri wa dunia hii. Mammon kazi yake ni kufanya watu waliokufa kifedha na walio hai kifedha kuwa maskini wa milele ahera. Yesu Kristo alikuwa maskini, ili tuwe matajiri kupitia umaskini wake, lakini kwa sababu alikuwa na imani ya Mungu katika moyo wake alikuwa tajiri. Hivyo unaweza kuwa na utajiri wa mbinguni hapa duniani, ukiikaribisha amani ya Mungu katika moyo wako.” WorldHeartGodTimeJesusHeavenPeaceWealthPoorPovertyHellJesus ChristGreedWealthyGospelJehovahMunguDuniaEverAmaniYesu KristoYesuMaskiniTajiriMoyoMudaMbinguniUtajiriInjiliDunianiMammonUmaskiniMileleMatajiriAheraGod S FaithUchoyoYehovaImani Ya MunguLuka 16Luke 16Mathayo 6Matthew 6 Author:Enock Maregesi
“Mammon ni mungu wa pesa wa kuzimu anayesimamia mambo yote ya kifedha ulimwenguni. Ni miongoni mwa mashetani saba waliotupwa na Mwenyezi Mungu hapa duniani kutokea mbinguni akiwemo Ibilisi, Beelzebub, Asmodeus, Leviathan, Amon na Belphegor. Ibilisi ni mungu wa kiburi, Beelzebub ni mungu wa uroho, Asmodeus ni mungu wa zinaa, Leviathan ni mungu wa wivu, Amon ni mungu wa hasira na Belphegor ni mungu wa uvivu. Jukumu la mashetani hawa ni kusimamia kwa uaminifu mkubwa kutokea kuzimu dhambi kubwa saba duniani ambazo ni kiburi, uroho, zinaa, wivu, hasira, uvivu na uchoyo. Dawa ya dhambi hizo ni busara, kiasi, ujasiri, imani, haki, tumaini na upendo.” WorldLoveGodFaithHopeHeavenJusticeCourageHellHonestyPrideCharityLustWrathPrudenceFortitudeSlothTemperanceAlmighty GodMunguLuciferGluttonyLeviathanSeven Deadly SinsImaniMwenyezi MunguUpendoAsmodeusMbinguniHasiraHakiDunianiKiburiMammonIbilisiUaminifuUvivuAmonUjasiriBeelzebubBusaraKiasiKuzimuMalicious EnvyWivuBelphegorTumainiUrohoZinaaDhambi Kubwa SabaGod Of MoneyJukumu La MashetaniMashetani SabaMungu Wa PesaRole Of DevilsSeven Devils Author:Enock Maregesi
“Wachawi wanamwabudu Shetani. Lakini Shetani wanayemwabudu si Shetani Ibilisi aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu kuja kuudanganya ulimwengu wote. Ni Shetani roho ya mabadiliko, mabadiliko ya kweli, ya ufahamu kamilia ulimwengu huu ambamo sisi sote tunaishi. Wachawi, kwa maneno mengine, wanaabudu miungu – kama vile Inanna wa Mesopotamia, Isis wa Misri, Asherah wa Kaanani au Belus wa Assyria ambaye ndiye mungu wa kwanza kuabuadiwa kama sanamu duniani – iliyotwaliwa na Shetani tangu misingi ya ulimwengu huu kusimikwa. Dhambi aliyotenda Shetani mbinguni ni ndogo kuliko dhambi wanazotenda wachawi duniani, ijapokuwa dhambi aliyotenda Shetani haitaweza kusamehewa na ndiyo maana Shetani hataweza kuwasamehe wanadamu. Ni jukumu letu kuwaita wachawi wote kutoka Babeli na kuwaleta katika ukweli kama kweli wanayemwabudu ni Shetani Ibilisi, Shetani Beelzebub, Shetani Asmodeus, Shetani Leviathan, Shetani Mammon, Shetani Amon au Shetani Belphegor ambao ni mabingwa wa kiburi, uroho, zinaa, wivu, fedha, hasira na uvivu duniani. Wachawi hawajui, na usipojua waweza kufa bila kujua.” WorldHumansGodTruthUniverseHeavenSinMoneyPrideLustIdolsDieGodsWitchesWrathWizardsSlothAlmighty GodMunguLuciferGluttonyReal ChangeBabylonLeviathanStatueDhambiUlimwenguMwenyezi MunguUkweliAsmodeusMbinguniHasiraWanadamuDunianiKiburiMammonKufaIbilisiUvivuWachawiAmonComplete UnderstandingBeelzebubFoundations Of This UniverseMiunguIsis Of EgyptMalicious EnvySanamuSpirit Of ChangeWivuAshera Of CanaanBabeliBelphegorFedhaMabadiliko Ya KweliRoho Ya MabadilikoUfahamu KamiliUrohoZinaaAsherah Wa KaananiBelus Of AssyriaBelus Wa AssyriaInanna Of MesopotamiaInanna Wa MesopotamiaIsis Wa MisriMisingi Ya Ulimwengu Huu Author:Enock Maregesi
“Wachawi wanaabudu miungu ambayo ndani yake kuna Shetani, aliyesababisha Ibilisi achague mabaya badala ya mema kabla Mungu hajamfukuza mbinguni. Shetani ndani yake kuna Shetani. Huyo Shetani aliyeko ndani ya Shetani, anayeitwa Roho ya Mabadiliko ya Kweli ya Ufahamu Kamili wa Siri ya Uumbaji wa Mungu (kwani ukiijua siri ya uumbaji wa Mungu unakuwa kama Mungu), ndiye anayeabudiwa na wachawi.” GodEvilHeavenGoodSatanGodsWitchesWizardsMunguLuciferReal ChangeShetaniMabayaMbinguniMemaIbilisiWachawiComplete UnderstandingMiunguSpirit Of ChangeMabadiliko Ya KweliRoho Ya MabadilikoSiri Ya UumbajiUfahamu KamiliSecret Of Creation Author:Enock Maregesi
“Shetani alikuwa malaika aliyeumbwa na Mungu lakini baadaye akamwonea Mungu wivu, wivu wa madaraka, hivyo Mungu akamtupa duniani kwa sababu ya kupingana na utawala wake mtakatifu. Duniani Shetani akamtumia nyoka kama mdakale kumdanganya Hawa. Hawa na Adamu wakamsikiliza Shetani badala ya kumsikiliza Mungu, nao wakalaaniwa. Shetani akajidai kuwa alikuwa na uwezo wa kufanya uzao wote wa Adamu na Hawa uwe mbali na Mungu, hivyo Mungu akampa muda wa kujaribu na kuthibitisha madai yake, lakini Shetani mpaka leo bado hajafanikiwa. Wakiitawala dunia leo kwa udanganyifu wa hali ya juu, pamoja naye, ni baadhi ya malaika ambao Shetani alifanikiwa kuwalaghai huko mbinguni. Mungu akawalaani pia na kuwatupa huku duniani, ambako Shetani alipapenda zaidi.” WorldGodTimeHeavenPowerClaimsEnvySatanDeceitAdamAngelsOffspringSerpentMunguRuleDuniaShetaniEveMouthpieceMudaMbinguniMalaikaAdamuHawaMadarakaUtawalaNyokaWivuUdanganyifuUzaoMadaiMdakaleRightful RulershipUtawala Mtakatifu Author:Enock Maregesi
“Adam Kuambiana umerudi nyumbani ulikotoka, ukiongozwa na imani na mwanga wa wale uliowapenda na kuwapoteza. Hatuwezi kukumbuka kwamba umetutoka bila kukumbuka kwamba uliishi, na kwamba maisha yako yalitupa kumbukumbu nzuri tusizoweza kuzisahau haraka. Jumanne, siku ya kuuaga mwili uliokuwa ukitumiwa na wewe, wengine watasema Kwa heri lakini mimi nitasema Asante! Asante kwa sababu ya kipaji chako. Asante kwa sababu ya kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wako wote, kutoa sauti kwa wale wote waliokuwa hawawezi kusikika. Asante kwa sababu ya kuacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta wakati ukiingia, na Asante kwa sababu ya maisha yako. Tukiendelea kuomboleza kifo cha Adam Kuambiana hapa duniani, wengine wanasherehekea kukutana naye huko mbinguni. Mchungaji wa uhai wa wote Mungu wa mbinguni ailaze roho yake mahali pema peponi: Yeye ni mwandishi wa hadithi ya maisha yetu na ndiye aliyeandika ukurasa wa mwisho wa hadithi ya Adam.” LoveLifeGodHomeLightDeathFaithLostHeavenVoiceMemoriesAudienceTalentMourningParadiseGoodbyeWriterStoryAdamThank YouMoviesTuesdayPhilipActorCelebrationsDirectorLast BreathLast ChapterLast PageAdam KuambianaAdam Philip KuambianaAdam S StoryBongo MoviesKuambianaLeave The World A Better PlaceShephard Author:Enock Maregesi
“Ni rahisi kushinda vita ya maisha na kuishi mbinguni duniani. Ni vigumu kushinda vita ya dhambi na kuishi mbinguni paradiso.” WorldLifeWarGodEarthHeavenSinBattleJesus ChristParadiseAmerican DreamHeaven On EarthBattlefieldDream Life Author:Enock Maregesi
“Unapokuwa mbali na Mungu unakuwa mbali na mwanga, unakuwa gizani, unakuwa mbali na joto, unakuwa katika baridi ya milele. Unapokuwa katika baridi ya milele rangi ya ngozi yako itabadilika na kuwa bluu. Macho yako yatakuwa makubwa kama ya nguva. Bluu maana yake ni kuwa mbali na maarifa ya Mungu. Nguva maana yake ni kuwa mbali na utukufu wa Mungu. Kuwa karibu na maarifa ya Mungu na utukufu wa Mungu, usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo.” GodLightDarknessBlueHeatEyesGlory Of GodMermaidMunguMachoKnowledge Of GodCoolMwangaChristian Of Jesus ChristChristian Of The ChurchMkristo Wa KanisaBaridiBluuChristian Of ReligionMkristo Wa DiniMkristo Wa Yesu KristoNasara Wa DiniNasara Wa KanisaNguvaGizaniJotoMaarifa Ya MunguNasara Wa Yesu KristoRangi Ya Ngozi YakoThe Color Of Your SkinUtukufu Wa Mungu Author:Enock Maregesi