“Kabla ya uasi, Mungu alimpa Shetani na wasaidizi wake ambao ni mapepo mamlaka makubwa juu ya kila kitu hapa duniani; kuanzia angahewa la dunia hadi ardhi ya dunia nzima nasi wakazi wake tukijumuishwa. Abadani tusisahau kwamba, kwa kiasi kikubwa, kupambana kwetu kama Paulo anavyosema ni dhidi ya hawa mapepo na mfalme wao ambaye ni Shetani. Tunaishi katika eneo ambapo hata wao wanaishi. Hawa mapepo wabaya huwatumia maadui wa msalaba wa Yesu Kristo kutekeleza mipango yao kwa lengo la kuwaangamiza marafiki wote wa msalaba wa Yesu Kristo, wanashawishiwa kwa kiasi kikubwa na hizo mamlaka za kimapepo, na kwa sababu wamedanganywa, hawajui hata kidogo kama Shetani anawatumia! Inawezekana hawajatwaliwa na mapepo lakini wanashawishiwa na mapepo kutenda kinyume na mapenzi ya Mungu kwa wanadamu wote.” HumansGodEarthPlansFriendsAuthorityAtmosphereSatanDemonsEnemiesKingMunguDuniaShetaniPaulWill Of GodMaaduiPauloWanadamuMamlakaMarafikiInhabitantsMapenzi Ya MunguMapepoMfalmeMipangoMsalaba Wa Yesu KristoThe Cross Of Jesus ChristAngahewaBefore RebellionDemonic PowersKabla Ya UasiMamlaka Za KimapepoMapepo WabayaWakazi Author:Enock Maregesi
“Jambo ambalo Mungu anataka tulitambue ni kwamba hatuko wenyewe katika bahari hii ya hewa. Hata nyangumi na wazira waovu wanapozunguka huko na huko baharini, ambao pia ni mapepo, wanaochukuliwa kama viumbe wabaya na wachafu na wala mizoga, wanaishi katika bahari hii ya hewa pamoja na sisi. Ni muhimu, kwa ajili ya ustawi wetu wa kiroho, kusikia onyo la Paulo katika Waefeso 6:10-12 kwamba vita yetu si dhidi ya hawa viumbe, na wanapambana usiku na mchana kutetea kile ambacho wanaamini ni cha kwao kwa sababu ya haki ya kuwepo hapa kwanza kabla yetu. Dunia, Biblia inatwambia, ilikuwa makazi yao ya kwanza (Yuda 1:6, KJV). Wanatuchukia kwa sababu taratibu tunakuwa Baba na Mwana, na kwa sababu wanajua hii dunia, urithi wetu, itachukuliwa kutoka mikononi mwao na kukabidhiwa kwa wale ambao ni watoto wa Mungu, wale ambao ni marafiki wa msalaba wa Yesu Kristo.” GodEarthAirFriendsBibleRightDemonsDay And NightMunguFather And SonDuniaPaulBibliaWhaleChildren Of GodPauloHakiKjvMarafikiHewaMapepoMsalaba Wa Yesu KristoThe Cross Of Jesus ChristWatoto Wa MunguBaba Na MwanaEphesians 6 10 12Evil CreaturesJudas 1 6NyangumiOur BattleOur HeritageUrithi WetuUsiku Na MchanaVita YetuViumbe WabayaWaefeso 6 10 12Wazira WaovuYuda 1 6 Author:Enock Maregesi
“Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya. Ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya. Ukitenda mazuri leo kesho yako itakuwa nzuri. Okoa kesho leo kwa kupanda mbegu nzuri na kuzimwagilia kwa imani na upendo kwa watu. Mungu ataleta mvua, jua na ustawi wa mazao yako. Panda mbegu ya msamaha kwa maadui zako, uvumilivu kwa wapinzani wako, tabasamu kwa marafiki zako, mfano bora kwa watoto wako, uchapakazi kwa kazi zako, uadilifu kwa waajiri wako na kwa wafanyakazi wako pia kama unao, ndoto kwa malengo yako, na uaminifu kwa marafiki zako wa ukweli. Kila mbegu irutubishwe kwa mapenzi huru yasiyokuwa na masharti yoyote, au mapenzi huru yasiyokuwa na unafiki wa aina yoyote ile. Usifiche vipaji vyako. Ukiwa kimya utasahaulika. Usipopiga hatua utarudi nyuma. Usiwe na hasira, wivu au ubinafsi.” PeopleLoveChildrenGodTodayFaithEvilSunDreamsHonestyFriendsTomorrowIntegrityForgivenessRainAngerPerseveranceSmileSeedsGoalsGoodSelfishnessEmployersEnemiesCropsTalentsMunguEmployeesIndustriousSeasonRole ModelWatuLeoImaniWatotoUpendoMsamahaMaaduiMabayaHasiraJuaOpposersMarafikiNdotoMbeguUbinafsiVipajiKeshoUaminifuUvumilivuGood SeedsMalengoMazuriUchapakaziTabasamuUadilifuWaajiriBad SeedsMazaoMbegu MbayaMbegu NzuriMfano BoraMsimuMvuaWafanyakaziWapinzani Author:Enock Maregesi
“Marafiki wanaweza kukupotosha bila wao wenyewe kujua na bila kuwa na nia mbaya ya aina yoyote ile; na wanaweza kuwa washauri wazuri kwa sababu wanakujua vizuri unapokuwa na huzuni, na wanakujua vizuri unapokuwa na furaha pia. Kwa mfano; rafiki yako anaweza kukushauri kusomea uhasibu wakati Mungu amekupangia utawala, au anaweza kujua aongee na wewe wakati gani kulingana na tabia yako ya kubadilikabadilika. Maadui wanasaidia kujua kipaji ulichopewa na Mungu – ukifanya kitu ambacho si cha kawaida katika maisha yako halafu ukawa na maadui ujue hicho ndicho Mungu alichokupangia kufanya, hivyo usikate tamaa – na mashabiki wanasaidia kufanya kipaji chako kiwe na uhai.” LifeGodHappinessPurposeFansTalentFriendsSorrowMoodAdministrationFriendEnemiesDon T Give UpMunguAdvisorsMaishaMaaduiFurahaNiaKipajiTabiaMarafikiRafikiMashabikiUsikate TamaaUtawalaHuzuniUhaiAccountancyUhasibuWashauri Author:Enock Maregesi
“Maadui ni wazuri kuliko marafiki na mashabiki ni wazuri kuliko maadui. Maadui wanakusaidia kujua wewe ni nani na kwa nini uko hapa. Ukishajua wewe ni nani na kwa nini uko hapa, hakuna mtu atakayekuzuia kufanya chochote unachokiamini zaidi na kukifanya. Chochote unachokiamini zaidi na kukifanya ndicho Mungu alichokupangia kufanya hapa duniani, na kwa sababu hiyo utapata maadui. Ili utoke lazima uwe na mashabiki, marafiki na maadui.” GodFansFriendsEnemiesBetterMunguWho Are YouMaaduiDunianiMarafikiIn The WorldMashabikiWhy Are You HereWewe Ni NaniKwa Nini Uko HapaWazuri Author:Enock Maregesi
“Ukila kiapo cha uaminifu, kwa mfano, kwa jina la Mwenyezi Mungu, kisha uaminifu huo ukakushinda, nini kitatokea? Laana! Yaani, badala ya kubarikiwa, utalaaniwa na Mungu.” GodHonestyCurseBlessingsOathMunguLaanaUaminifuBarakaKiapo Author:Enock Maregesi
“Usimwabudu mungu mwingine isipokuwa Mungu. Usimwabudu mtu, mnyama, sanamu, samaki, au usiziabudu fikira zako kichwani. Usiitumikie kazi, mali, mila, anasa, siasa, wala usiyatumikie mamlaka au usiutumikie umaarufu au ufahari, kuliko Mungu. Ukiithamini kazi, mali, mila, anasa, siasa au ukiyathamini mamlaka, au ukiuthamini umaarufu au ufahari zaidi kuliko Mungu, au ukiyapa majukumu yako muda mwingi zaidi kuliko Mungu umeabudu miungu; wakati ulipaswa kumwabudu Mungu peke yake. Usiwe na vipaumbele vingine vyovyote vile katika maisha yako zaidi ya Mungu, kwani Mungu ni Mungu mwenye wivu.” IdeasGodTimePoliticsAnimalFameAuthorityPropertyPrioritiesLuxuryManJobGodsYour LifePrestigeFishWorship GodMunguResponsibilitiesMtuMaliCustomStatueKaziMudaMaisha YakoMamlakaMnyamaMiunguSiasaMilaSanamuAnasaFikiraJealous GodSamakiUmaarufuKumwabudu MunguMajukumuMungu Mwenye WivuUfahariVipaumbele Author:Enock Maregesi
“Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi hata kidogo, lakini ukigeuza kuamini kuwa kujua utafanikiwa.” GodKnowingLaw Of AttractionMunguBelievingKanuni Ya Nguvu Ya UvutanoKujuaKuamini Author:Enock Maregesi
“Mungu anaweza kusamehe kutokujua kwetu kwa sababu hatuwezi kukiamini kile tusichokijua; na hata kama tutaweza kuadhibiwa kwa kile tusichokijua, hatutaweza kuadhibiwa vikali kama ambavyo tutaweza kuadhibiwa kwa kile tunachokijua.” GodKnowingNot KnowingMunguKujuaKutokujua Author:Enock Maregesi
“Vita ya Shetani na Mungu inatuathiri zaidi sisi wanadamu – na hapo baadaye itamuathiri Shetani pia. Vita hii haiwezi kuisha hadi siku ya mwisho, Yesu Kristo atakaporudi kuwachukua wateule wake. Pambana kwa njia ya maombi hadi siku ya mwisho kwa sababu adui tunayepambana naye hana muda wa kupumzika. Pambana kujiombea na kuwaombea wengine waliohai, na hata wale ambao bado hawajazaliwa, kabla mafuta ya dunia hii hayajalipuka. Usiishi kama adui wa msalaba wa Yesu Kristo, badala yake, ishi kama rafiki wa msalaba wa Yesu Kristo. Kuishi kama rafiki wa msalaba wa Yesu Kristo ni kupinga majivuno yote ya Shetani kwa upendo uliotukuka wa kujishusha au kujidharirisha, kutokutetereka hata kidogo na tamaa za ulimwengu huu kwa upendo mkubwa wa umaskini, na kutokuyumba wakati wa matatizo kwa sababu wakati wa amani ulijilimbikizia imani.” LoveNeedsHumansGodFaithPeaceEnemyPovertyPrideBattleJesus ChristSatanFightFriendVitaPrayersMunguShetaniAmaniYesu KristoMatatizoImaniUpendoWanadamuMaombiAduiUmaskiniRafikiDay Of JudgementPambanaMsalaba Wa Yesu KristoThe Cross Of Jesus ChristElectsSiku Ya MwishoWateuleMafuta Ya Dunia HiiMajivunoOil Of This WorldTamaa Za Ulimwengu HuuThe Desires Of This World Author:Enock Maregesi
“Maarifa unayoyatafuta katika Biblia, Kurani au Yoga ('Oriental Yoga': 'esoteric knowledge': maarifa ya kujua siri ya uumbaji wa Mungu ya 'Kabbalah' ya Kiyahudi au 'Kalachakra' ya Kibudha ya bara la Asia; siri ya sayansi ya kurefusha maisha ya mafundisho ya kiroho ya 'Arcanum' ya Misri – au Kemia ya Mungu au 'Alchemy'; mafundisho ya kiroho ya 'Rosicrucia' ya bara la Ulaya tangu mwishoni mwa karne ya kumi na nne; 'sex magic', 'sex magic' inaweza kukupa utajiri au umaskini hivyo kuwa makini; n.k.) ni hekima na busara. Vingine vyote vitajileta vyenyewe.” LifeGodScienceWealthSecretPovertyKnowledgeCreationYogaBibleDoctrineQuranMunguMaishaKabbalahBibliaSiriMaarifaUtajiriUmaskiniSex Magic14th CenturyEsoteric KnowledgeSayansiHekima Na BusaraUumbajiKuraniAsian ContinentBara La AsiaBara La UlayaEuropean ContinentKalachakraKarne Ya 14Maarifa Ya NafsiMafundisho Ya KirohoOriental YogaRosicruciaWisdom And KnowledgeYoga Ya Mashariki Ya Mbali Author:Enock Maregesi
“Israeli ilifikia kikomo cha kipindi chake kikubwa cha mafanikio tangu enzi za Sulemani. Taifa lilikuwa tajiri. Lilikuwa na nguvu. Lilikuwa na silaha nyingi na nzuri zaidi. Lilikuwa taifa lililojidai kwa uwezo wake mkubwa wa nguvu za kijeshi, hekima, ujasiri, utajiri, na faida za kimkakati. Nani angeweza kushindana na Israeli? Lakini Mungu hunguruma onyo kwamba uwezo wote mkubwa wa asili wa taifa, ujuzi waliojipatia, na sifa bora zaidi havikuweza kulisaidia taifa la Israeli. Watu huona nguvu ya taifa katika utajiri wake, idadi yake ya watu, silaha za kijeshi, teknolojia, na maarifa. Lakini Mungu huangalia haki.” GodWealthIsraelRightIsraeliMunguSolomonUtajiriHakiSulemani Author:Enock Maregesi
“Mungu alimpa kila mmoja wetu vipawa na vipaji vya pekee kwa ajili ya huduma yake. Kazi yake kwetu hapa duniani ni kutumia vipawa na vipaji vyetu kwa ajili ya huduma ya watu wengine. Kila mmoja wetu ana kitu fulani anachoweza kutoa kwa ajili ya mtu mwingine mwenye shida. Tunaweza kutoa pesa zetu na muda wetu kwa watu maskini. Tunaweza kuwa marafiki kwa watu wapweke au watu wasiojiweza kiafya. Tunaweza kufanya kazi za kujitolea kwa ajili ya mabadiliko ya watu wengine. Tunaweza kuwa wasuluhishi wa migogoro ya amani. Tunaweza kuwa na upendo usiokuwa na masharti yoyote kwa familia zetu. Tunaweza kufanya kazi za kujitolea au kazi za kuajiriwa kwa uadilifu, uaminifu, heshima, na upendo kwa wengine.” PeopleWorldLoveGodTimePeaceWorkPoorMoneyFamilySacrificeHonestyHealthIntegrityRespectServiceUnconditional LoveNeedGiftsTalentsChangesOthersMunguFamiliaConflictsDuniaLonely PeopleWatuOther PeopleAmaniMaskiniPesaKaziPeacemakersMudaUpendoHeshimaWengineVipajiAfyaKujitoleaMabadilikoShidaUaminifuHudumaMigogoroWatu WengineUadilifuWapwekeMmoja WetuOne Of UsUpendo Usiokuwa Na MashartiVipawaWasuluhishi Author:Enock Maregesi
“Musa alipokuwa mlimani kupokea Amri Kumi za Mungu kwa ajili ya Wana wa Israeli alikawia sana kurudi, kiasi cha watu kukata tamaa na kujiona wapweke wakiwa njiani kuelekea katika Nchi ya Ahadi. Kutokana na woga usio na kifani na kukata huko kwa tamaa waliamua kutosubiri tena kusikia neno kutoka kwa Mungu, au kuiona sura halisi ya Mungu kama Musa alivyokuwa amewaahidi, hivyo wakamlazimisha Haruni awatengenezee mungu kutokana na taswira ambayo tayari walishakuwa nayo vichwani mwao kuhusu mungu waliyemtaka; yaani ndama wa dhahabu, au mungu mpya ambaye angewapa chochote walichotaka muda wowote waliotaka.” PeopleGodDespairLonelyMosesWordImageMunguPromised LandWatuAaronMusaAnytimeAmri Kumi Za MunguKukata TamaaNenoTaswiraWana Wa IsraeliThe Ten CommandmentsNew GodTrue FaceWapwekeChildren Of IsraelExtraordinary FearGolden LambHaruniIn Their HeadsMlimaniMuda WowoteMungu MpyaNchi Ya AhadiNdama Wa DhahabuOn The MountainSura HalisiVichwani MwaoWoga Usio Na Kifani Author:Enock Maregesi
“Mawazo ya kukata tamaa yanaweza kusababisha tukamtengeneza au kumbuni tena Mungu kwa mfano wetu sisi wenyewe, mfano ambao kwa kawaida ni tofauti kabisa na mfano unaozungumzwa ndani ya Biblia. Hivyo tunaishia kutumikia mfano badala ya kumtumikia Mungu wa kweli.” IdeasGodDespairBibleImageMunguTrue GodBibliaMawazoKukata TamaaMfanoOur ImageMfano WetuMungu Wa Kweli Author:Enock Maregesi
“Kiongozi kwa sababu ya haki akibarikiwa na Mungu, hata watu anaowaongoza watabarikiwa na Mungu pia. Lakini kama kiongozi amelaaniwa na Mungu kwa sababu ya uovu, hata watu anaowaongoza watalaaniwa pia.” PeopleGodEvilLeaderRightMunguWatuKiongoziHakiUovu Author:Enock Maregesi
“Shahidi mwaminifu na wa kweli anayajua mambo yetu yote tangu kuumbwa hadi mwisho wa dunia yetu. Kwa hiyo, ni kweli unabii lazima utimie. Mungu anataka tuwe na amani ndani ya mioyo yetu lakini anajua si jambo rahisi kwa sababu ya hila za Shetani. Shetani asingekuwepo amani ingekuwepo; watakatifu wasingekuwepo, dunia isingekuwepo. Lakini mlango wa rehema bado haujafungwa. Bado tuna uhuru wa kuchagua mema dhidi ya mabaya.” WorldGodEvilPeaceFreedomDevilGoodWitnessFaithfulSatanTrueMunguSaintsDuniaShetaniAmaniMabayaMemaUhuruKweliWatakatifuMwaminifuSi Jambo RahisiDevil S SchemesEnd Of Our WorldHila Za ShetaniIn Our HeartsIt Is Not EasyMlango Wa RehemaMwisho Wa Dunia YetuNdani Ya Mioyo YetuProphecy Must Be FulfilledShahidiShahidi Mwaminifu Na Wa KweliSince CreationTangu KuumbwaThe Door Of MercyThe Faithful And True WitnessUnabii Lazima Utimie Author:Enock Maregesi
“Hasanati ni matendo mema. Mema yanatoka kwa Mungu. Mabaya yanatoka kwa Shetani. Mke mwema anatoka kwa Mungu. Mke mbaya anatoka kwa Shetani. Mke mwema ana hekima na busara, ana maadili na tabia njema, ana utu na uchapakazi, ana wema na upendo, na ana aibu kwa wanaume.” MenLoveGodWisdomHumanityEvilGoodnessEthicsShameGoodSatanGood DeedsPrudenceMunguGood WifeShetaniGood BehaviorHekimaUpendoMabayaMemaIndustriousnessUtuWemaAibuMaadiliUchapakaziBusaraHasanatiWanaumeMatendo MemaTabia NjemaBad WifeMke MbayaMke Mwema Author:Enock Maregesi
“Mungu hakutuumba ili tuwe roboti, ambayo hufanya kazi kama ilivyoelekezwa. Alituumba ili tuwe huru. Yaani, tuwe na uwezo wa kuchagua mema au mabaya – ndiyo maana akaweka Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya katika Bustani ya Edeni – ndiyo maana akamtuma Shetani kuwajaribu Adamu na Hawa, wazazi wetu wa kwanza.” GodEvilCapacityGoodParentsSatanFreeMunguGarden Of EdenShetaniRobotUwezoMabayaMemaWazaziHuruBustani Ya EdeniMti Wa Maarifa Ya Mema Na MabayaOur First ParentsWazazi Wetu Wa KwanzaRoboti Author:Enock Maregesi
“Unabii ni uwezo alionao mtu wa kuongea mambo matakatifu ya Mungu, kuwaongoza wenzake katika njia njema. Mungu humwambia nabii kitu cha kusema na nabii huwambia wenzake kile ambacho Mungu amemwambia aseme. Mungu hawezi kuongea na watu mpaka watu wajue jinsi ya kuongea naye, na wakati mwingine ni rahisi sana kusikia ujumbe kutoka kwa mtu kuliko kuusikia ujumbe huo moja kwa moja kutoka kwa Mungu. Mungu anaweza kukwambia useme kitu fulani kwa mtu au watu fulani. Unaweza usijue kwa nini anakwambia ufanye hivyo, lakini utajisikia msukumo wa hali ya juu wa kutangaza ujumbe uliopewa kuuwasilisha. Mungu hatakulazimisha, lakini atakung’ang’aniza, na ni Mungu pekee anayejua lengo la mawasiliano hayo. Mungu akikwambia ufanye kitu fanya mara moja, usiulize kwa nini. Kazi yako ni kufanya unachotakiwa kufanya, kusema unachotakiwa kusema, si kuuliza maswali. Mtumie rafiki yako wa kiroho kukuongoza katika mema na mabaya, na usitambe – kwamba unaongea maneno uliyoambiwa na Mungu uyaongee. Ukiwa na uwezo mkubwa wa kuongea na Mungu utaleta mabadiliko katika dunia.” PeopleWorldGodEvilChangePowerCommunicationGoodProphetProphecyMunguMessageDuniaWatuUrgeUwezoMabayaMemaMabadilikoUnabiiUjumbeMawasilianoMsukumoNabii Author:Enock Maregesi
“Hasira ni Shetani. Hekima ni Mungu. Kila kitu kimo ndani yetu. Hasira imo ndani yetu. Hekima imo ndani yetu. Atomu ni matofali ya ujenzi wa kila kitu ulimwenguni likiwemo jua na miili ya wanadamu. Ndani ya atomu kuna nguvu ya chanya na kuna nguvu ya hasi. Kama miili yetu imetengenezwa na atomu na katika kila atomu kuna nguvu ya chanya na kuna nguvu ya hasi, hivyo basi, tuna uwezo mkubwa wa kufanya mambo mazuri na tuna uwezo mkubwa wa kufanya mambo mabaya. Mtu akikutukana mwambie asante. Akikupiga mwambie asante. Akiendelea kukupiga, pigana. Geuza hasira yako kuwa hekima kwa faida yako na kwa faida ya wengine.” GodWisdomUniverseEvilHuman BeingsSunPositiveBuildingNegativeAngerGoodSatanFightThank YouPersonOthersMunguBenefitShetaniMtuAtomUlimwenguHekimaMabayaHasiraWanadamuWengineBlocksJuaFaidaAtomuChanyaMazuriPiganaHasiAsanteMatofaliUjenzi Author:Enock Maregesi
“Nilijifunza toka awali umuhimu wa kushindwa katika maisha ijapokuwa nilijitahidi sana, na nilipoendelea kushindwa niliweka nadhiri ya kufanya kitu kimoja kilicholeta maana zaidi katika maisha yangu nacho ni uandishi wa vitabu. Uandishi wa vitabu ndicho kitu pekee nilichokiweza zaidi kuliko vingine vyote na kuanzia hapo Mungu aliniweka huru. Nilijua mimi ni nani. Nilijua kwa nini nilizaliwa. Nilijifunza falsafa ya kuacha dunia katika hali nzuri kuliko nilivyoikuta – kwa sababu hata mimi nilikuwepo – na falsafa ya kushindwa si hiari. Maarifa hayo yakafanya niwe na heshima na upendo kwa watu wote.” PeopleWorldLoveLifePhilosophyGodKnowledgeFailureRespectImportanceMeaningFreeVowMunguDuniaMaishaWatuFailure Is Not An OptionMy LifeMaarifaUpendoHeshimaMaanaEarlierKushindwaMaisha YanguHuruNadhiriFalsafaKushindwa Si HiariAwaliBooks WritingUandishi Wa VitabuUmuhimu Author:Enock Maregesi
“Watu wa zamani katika Agano la Kale walikuwa wakiabudu miungu iliyotengenezwa kwa mawe na vinyago. Miungu hiyo haikuwa na chochote ndani mbali na kutengenezwa kwa akili na fikira za kibinadamu. Hii ilikuwa ni kinyume cha ukweli wa Kibiblia kwamba Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake, lakini si mtu aliyejaa dhambi kumtengeneza Mungu kwa mfano wake. Kuabudu miungu mingine ni dhambi kubwa. Tii Amri Kumi za Mungu; hasa ya kwanza, ya pili na ya tatu.” MindIdeasGodBibleStonesManGodsOld PeopleIdolatryOld TestamentMunguSinsFirstSecondBibliaDhambiAkiliBinadamuThirdKwanzaMiunguAgano La KaleA Great SinDhambi KubwaFikiraMitiTatuKuabudu MiunguMan In His ImageMaweMtu Kwa Mfano WakeObey Ten Commandments Of GodPiliTii Amri Kumi Za MunguVinyagoWatu Wa Zamani Author:Enock Maregesi
“Mitume kumi na wawili wa Yesu Kristo waliamua kufa kinyama kulinda heshima ya mfalme wao Yesu Kristo, kama Biblia na historia vinavyosema. Kwa nini watu (wengine) wa kizazi hiki wanasema hakuna Mungu na kwa sababu hiyo hawamwamini Yesu? Je, uko tayari kufa kwa ajili ya mtu aliyekufa kwa ajili yako? Kwa ajili ya mtu ambaye mitume walikuwa tayari kufa kwa ajili yake? Je, wewe una akili zaidi kuliko mitume? Yesu aliamua kufa ili wewe uishi, lakini bado unakuwa mbishi. Badilika.” GodJesusHistoryBibleJesus ChristKingHistoriaGenerationMunguBibliaYesu KristoYesuDisciplesMfalmeMitumeKizazi Author:Enock Maregesi
“Tupo watu takriban bilioni saba katika dunia hii. Kila mtu ni wa kipekee. Mathalani, wewe ni tofauti na baba yako au mama yako au mtu mwingine yoyote yule. Kila mtu aliumbwa kivyake na Mwenyezi Mungu. Kila mtu ana nafasi ya kwake mwenyewe aliyopangiwa na Mungu hapa duniani. Haijalishi wewe ni mwanamke au mwanamume, mweupe au mweusi, mfupi au mrefu, mzuri au mbaya, una nafasi katika nchi na dunia hii. Unachotakiwa kufanya ni kuamka, kufumbua macho na kuujua ukweli. Tafuta maarifa katika Biblia kama wewe ni Mkristo. Tafuta maarifa katika Kurani kama wewe ni Mwislamu. Tafuta maarifa katika Yoga kama wewe haumwamini Mungu. Ukishaamka na kuujua ukweli, ukishapata nafasi katika nchi yako, kuwa kiongozi na mkarimu kwa wenzako. Jifunze kutoka kwa wengine ndani na nje ya tasnia yako. Usiwe mchoyo wa maarifa. Kuwa mwadilifu. Ukifanya hivyo utafanikiwa zaidi, utaipa heshima tasnia yako, na utaacha alama katika dunia baada ya kuondoka. Kuacha alama katika dunia si lazima upate nafasi katika dunia. Kuacha alama katika dunia acha alama katika nchi yako.” WorldCountryGodTruthChristianBeautifulMotherFatherBlackWhiteLeaderKnowledgeIndustryHonorYogaBibleMarkUglyManWomanGenerousTallLearnGreedyMuslimMamaQuranPlaceSearchBabaMunguShortDuniaMan Of IntegrityBibliaMwenyezi MunguMwanamkeMaarifaHeshimaUkweliGod AlmightyNchiKiongoziMwanamumeMkarimuAlamaMkristoJifunzeNafasiMbayaTafutaKuraniMwislamuMzuriBilioni SabaFor ExampleMathalaniMchoyoMfupiMrefuMwadilifuMweupeMweusiSeven BillionsTasniaWoman Of Integrity Author:Enock Maregesi
“Mungu alilibariki taifa la Israeli katika misingi ya kidini na si katika misingi ya kisiasa au misingi ya kihistoria; na asili ya dini ya Kikristo ni kutoka katika taifa hilo ambalo Biblia imelitaja kama taifa teule la Mwenyezi Mungu. Mgogoro wa Israeli na Palestina ulianzishwa na Israeli mwenyewe. Yakobo alipokea baraka iliyokuwa si ya kwake kwa kutumia hila ya Rebeka. Baraka ya Yakobo ilikuwa ya Esau.” GodReligionPoliticsHistoryBlessingConflictBibleIsraelPalestineIsraeliNationHistoriaJacobMunguOriginRebeccaTrickBibliaFoundationsMwenyezi MunguGod AlmightyPalestinaTaifaDiniAsiliBarakaSiasaYakoboEsauHilaMgogoroMisingiRebeka Author:Enock Maregesi
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya Farao ya kuendelea kuwafanya watumwa wana wa Israeli nchini Misri; Nuhu aliitwa mpumbavu alipohubiri kwa miaka mia kuhusu gharika, katika kipindi ambacho watu hawakujua mvua ni nini; Daudi aliitwa mjinga alipojitolea kupambana na Goliati bonge la mtu, shujaa wa Gathi; Yusufu aliitwa mjinga alipokataa kulala na mke wa bosi wake, baada ya kuwa ameuzwa na nduguze kama mtumwa nchini Misri; Abrahamu aliitwa mjinga alipoamua kuhama nchi aliyoipenda na kwenda katika nchi ya ahadi, eti kwa sababu Mungu alimwambia kufanya hivyo; Yesu aliitwa mjinga mpaka akasulubiwa aliposema yeye ni Mfalme na Mwana wa Mungu. LAKINI, Musa alitenganisha Bahari ya Shamu na kuwapeleka Waisraeli katika nchi ya ahadi, ambako aliwakomboa kutoka utumwani. Nuhu aliokoa dunia. Daudi alimshinda Goliati. Yusufu aliokoa familia yake kutokana na njaa. Abrahamu alikuwa baba wa imani. Yesu aliyashinda mauti. Wakati mwingine tunatakiwa kufanya mambo makubwa kulingana na jinsi Roho Mtakatifu anavyotutuma, bila kujali watu au dunia itasemaje.” LifeGodSuccessDeathJesusPeaceChristStupidFoolHeroBibleJesus ChristRainExtraordinaryIgnorantIdiotHoly SpiritEgyptMosesStupid PeopleAbrahamStarvationKingHoly GhostCrucifixionSlavesPromised LandDavidJosephNoahPharaohEnock MaregesiEnockRed SeaMaregesiFoolish PeopleSon Of GodFloodsIsraelitesGathGoriath Author:Enock Maregesi
“Ukipata matatizo kumbuka kwamba Yesu alipata matatizo pia, na kutokana na matatizo hayo mimi na wewe tulipata uhuru. Soma Biblia. Soma nyimbo katika kitabu cha Zaburi zinazomsifu Mungu katika kipindi cha matatizo. Funga na kuomba ukiamini kwamba mapenzi ya Mungu kwetu ni huru, yasiyokuwa na masharti yoyote. Toa msamaha kwa waliokukosea. Ni kitu cha muhimu kujilimbikizia imani katika kipindi cha amani, ili matatizo yakitokea usiweze kuyumba.” LoveBelieveGodFaithHopeJesusPeaceFreedomBooksGratitudeForgivenessBiblePraiseSurrenderTrialsUnconditional LoveThankfulnessFastingPrayersSongsTroublesGive UpTestSacrificesPsalm Author:Enock Maregesi
“Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani.” LifeGodEarthHeavenPeaceDivine Author:Enock Maregesi
“Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha – na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi.” GodPrayersSacrifices Author:Enock Maregesi
“Palestina ni nchi ya Waisraeli waliyopewa na Mungu wa Yakobo. Hata hivyo, hawakutimiza masharti. Mungu aliwaagiza kuua kila mtu katika nchi ya Kaanani na miji yake yote. Waisraeli, wakiongozwa na Yoshua, waliua watu wengi katika nchi ya Kaanani. Hawakuua kila mtu katika miji ya Ashdodi, Gathi na Ukanda wa Gaza kama walivyoagizwa. Mungu alimwambia Ibrahimu kuwa angempa yeye na uzao wake nchi ya Kaanani kuwa milki yao ya milele, na kuwa Yeye ndiye angekuwa Mungu wao daima. Vita ya Israeli na Palestina itamalizwa na Mungu. Itamalizwa na hekima.” PeopleWarGodWisdomForeverConditionsKingdomPalestinePersonVitaAbrahamJacobGenerationMunguWatuMtuGaza StripHekimaIsraelitesMashartiPalestinaMileleYoshuaIbrahimuYakoboUkanda Wa GazaGathUzaoWaisraeliAshdodiCanaanGathiKaananiMilki Author:Enock Maregesi
“Kulingana na muda wa Mungu, maisha ya Adamu yalikuwa siku 0.93 au saa 22:32! Maisha ya mwanadamu ni siku 0.07 au saa 1:68!” GodHumanAdamMunguAdamuMwanadamu0 93 Days22 32 HoursSaa 22 32Siku 0 93 Author:Enock Maregesi
“Kusudi mimba itungwe lazima kuwepo na kromosomu X na kromosomu Y. Kromosomu ni nyuzinyuzi katika kiini cha seli zenye jeni au DNA, ambazo hubeba taarifa kuhusu sifa za kimaumbile zinazorithishwa kwa kiumbe hai kutoka kwa mama na baba wa kiumbe hicho. Kwa upande wa Yesu Kristo, katika hali ya kawaida, kromosomu X ilitoka kwa Maria Magdalena na kromosomu Y ilitoka kwa malaika Gabrieli. Yesu alikuwa Myahudi lakini Kristo ni Mungu. Yesu Kristo alikuwa binadamu kama sisi, lakini alikuwa na utukufu na alikuwa na damu ya Mungu iliyotakasika. Damu kama hiyo ndiyo inayotiririka katika miili ya kila mmojawetu ijapokuwa ni damu ya Adamu, ambayo bado haijatakaswa. Damu ya Yesu si kitu kidogo. Ilipomwagika msalabani ilifunika dunia nzima. Ndiyo maana tukasamehewa. Bila damu hiyo, bila utukufu huo wa Mungu, hakuna binadamu atakayeokolewa, hakuna pepo atakayeondolewa.” GodMotherFatherChristBloodInformationGloryHumanJesus ChristJewWhole WorldDemonPregnancyDnaMamaBabaMunguBodiesCellYesu KristoBinadamuDamuKristoTaarifaDunia NzimaMaria MagdalenaSeliArchangel GabrielChromosomeLiving ThingMaria MagdaleneMiiliMyahudiDamu Ya YesuJesus BloodMimbaPepoUtukufuVinasabaAdam S BloodChromosome XChromosome YDamu Ya AdamuDamu Ya MunguGod S BloodJeniKiumbe HaiKromosomuKromosomu XKromosomu YMalaika Mkuu Gabrieli Author:Enock Maregesi
“Kuna mambo yanatokea hapa ulimwenguni ambayo yanafanya nikiri uwepo wa Mungu kwa asilimia kubwa. Wanasayansi wanasema ulimwengu ulianzishwa na mlipuko wa ‘Big Bang’, uliotokea takribani miaka bilioni 14 iliyopita, kutoka katika kitu kidogo zaidi kuliko ncha ya sindano, lakini hawatuambii nini kilisababisha mlipuko huo utokee au hicho kitu kidogo kuliko ncha ya sindano kilitoka au kilikuwa wapi. Wanaendelea kusema kuwa baada ya ‘Big Bang’ kutakuwepo na ‘Big Crunch’, ambapo ulimwengu utarudia hali yake ya awali ya udogo kuliko ncha ya sindano, na kila kitu kinachoonekana leo ulimwenguni hakitaonekana tena. Hapo sasa ndipo utata unapokuja. Mlipuko wa ‘Big Bang’ ulipotokea ulimwengu ulilipuka na kusambaa pande zote nne za ulimwengu kwa mwendokasi wa zaidi ya kilometa milioni 2 kwa saa, mpaka hivi leo unavyoonekana na bado unaendelea kusambaa. Kutokana na dhana ya ‘Big Crunch’, wanasayansi wanaamini ulimwengu utapanuka ila baadaye utapungua mwendo na utarudi mwanzo kabisa mahali ulipolipukia. Lakini mwaka 1995 wanasayansi hao hao waligundua kitu. Ulimwengu – badala ya kupungua mwendo wa kupanuka kama wanasayansi walivyokuwa wakitabiri – sasa unaongeza mwendo, tena kwa mwendokasi ambao haujawahi kutokea. Hiki ni nini kinachosababisha ulimwengu uongeze mwendokasi kiasi hicho badala ya kuupunguza? Hicho ni nini ambacho ulimwengu unapanukia? Wanasayansi hawana jibu. Wanasingizia kitu kinaitwa ‘dark matter’, maada ambayo haijawahi kuonekana, kwamba ndicho kinachosababisha ulimwengu uongeze mwendokasi kwa kiwango hicho ambacho hakijawahi kutokea; na hicho ambacho ulimwengu unapanukia wanahisi ulimwengu wetu unapanukia katika ulimwengu mwingine, kwa mujibu wa dhana nyingine kabisa iitwayo ‘multiverse’ au ‘meta-universe’. Kuna kitu kinaitwa ‘Higgs boson’ – chembe ndogo inayosemekana kuhusika na uzito (‘mass’) wa chembe ndogo 16 zilizomo ndani ya atomu, kasoro chembe ya mwanga, iliyopotea mara tu baada ya mlipuko wa ulimwengu wa ‘Big Bang’ miaka bilioni 13.7 iliyopita katika kipindi kilichoitwa ‘epoch’ – ambayo ilianza kutafutwa katika maabara za CERN, Uswisi, toka mwaka 1964, maabara ambazo kazi yake kubwa ni kutengeneza mazingira ya mwanzo kabisa ya mlipuko wa ‘Big Bang’, kusudi wanasayansi waone kama wanaweza kubahatisha kuiona na kuidhibiti hiyo bosoni. Bosoni itakapopatikana wanasayansi watajua siri ya ‘dark matter’, watajua jinsi ulimwengu unavyofanya kazi na jinsi ulivyoumbwa na jibu la kitendawili cha ‘Standard Model’ litapatikana. Hiyo ni kazi ngumu. Ndiyo maana ‘Higgs boson’ mwaka 1993 iliitwa ‘The God Particle’. Yaani, wanasayansi wanahisi kuna muujiza wa Kimungu na huenda wasiipate kabisa hiyo bosoni. Wanasema waliipata mwaka 2013. Lakini hiyo waliyoipata bado ina utata. Kutokana na kushindwa huko kwa sayansi na historia, kutokana na kushindwa kwa sayansi kutengeneza binadamu au mnyama, kutokana na miujiza iliyorekodiwa katika vitabu vitakatifu; naamini, Mungu yupo.” MatterGodLightScienceDeathUniverseI BelieveAnimalHistorySunMassHumanJesus ChristMiracleSpeedSundayStableMondayBirdsHistoriaMessiahGod ExistsEpochMunguSwitzerlandScientistsBig BangMultiverseHoly BooksDark MatterYesu KristoAtom2013UlimwenguBinadamuYale University1964JoshuaKifo1993Big CrunchCernHiggs BosonJua1995WanasayansiBosonYoshuaJumapiliMidwivesNdegeStandard ModelAtomuMnyamaMwangaFirst CenturyJumatatuMaria MagdalenaMasihiMwaka 1995Sayansi333 PropheciesKarne Ya KwanzaKitendawiliMaria MagdaleneMungu YupoNaaminiSix Years OldTabiri 333Uzito14 Billion Years Ago2 Million Kilometers Per Hour4000 KkBosoniChuo Kikuu Cha YaleJumanne Tarehe 22 JulaiJumapili Tarehe 22 SeptembaKilometa Milioni 2 Kwa SaaMaadaMeta UniverseMiaka Bilioni 14 IliyopitaMuujizaMwaka 1964Mwaka 1993Mwaka 2013Mwaka 4000 KkMwendokasiProfesa C A TottenSunday 22nd SeptemberThe God ParticleTuesday 29th JulyUmri Wa Miaka SitaUswisiVitabu VitakatifuWakungaZizi La Ng Ombe Author:Enock Maregesi
“Wanasayansi wana uwezo wa kupeleleza hadi kipindi cha karne ya kwanza ambapo Yesu aliishi, alikufa, alifufuka na alipaa kwenda mbinguni, na wana uwezo wa kujua mambo mengi kwa hakika yaliyofanyika katika kipindi hicho na hata katika kipindi cha kabla ya hapo. Kuna miujiza ambayo Yesu aliifanya ambayo haiko ndani ya Biblia. Kwa mfano, Biblia inasema Yesu alizaliwa ndani ya zizi la ng’ombe wakati sayansi inasema alizaliwa nje ya zizi la ng’ombe; na muujiza wa kwanza kuufanya ambao hauko ndani ya Biblia ni kutembea mara tu baada ya kuzaliwa, na watu na ndege wa angani kuganda kabla ya kuzaliwa Masihi na kabla ya wakunga kufika kumsaidia Maria Magdalena kujifungua. Akiwa na umri wa miaka sita, sayansi inasema, Yesu alikuwa akicheza na mtoto mwenzake juu ya paa la nyumba ya jirani na mara Yesu akamsukuma mwenzake kutoka juu hadi chini na mwenzake huyo akafariki papo hapo. Watu walipomsonga sana Yesu kwa kumtuhumu kuwa yeye ndiye aliyesababisha kifo cha mwenzake, na kwamba wangemfungulia mashtaka, Yesu alikataa katakata kuhusika na kifo hicho. Lakini walipozidi kumsonga, aliusogelea mwili wa rafiki yake kisha akamwita na kumwambia asimame. Yule mtoto alisimama! Huo ukawa muujiza mkubwa wa kwanza wa Yesu Kristo, kufufua mtu nje ya maandiko matakatifu. Kuna mifano mingi inayodhihirisha uwepo wa Mungu ambayo wanasayansi hawawezi hata kuipatia majibu. Tukio la Yoshua kusimamisha jua limewashangaza wanasayansi hadi nyakati za leo. Mwanzoni mwa miaka ya 70 wanasayansi walijaribu kurudisha muda nyuma kwa kompyuta kuona kama kweli wangekuta takribani siku moja imepotea kama ilivyorekodiwa katika Biblia. Cha kushangaza, cha kushangaza mno, walikuta saa 23 na dakika 20 zimepotea katika mazingira ambayo hawakuweza na hawataweza kuyaelewa. Walipochunguza vizuri walikuta ni kipindi cha miaka ya 1500 KK (Jumanne tarehe 22 Julai) ambacho ndicho tukio la Yoshua la kusimamisha jua na kusogeza mwezi nyuma digrii 10, ambazo ni sawa na mzunguko wa dakika 40, lilipotokea. Kwa kutumia elimu ya wendo, elimu ya kupanga miaka na matukio ya Kibiblia, dunia iliumbwa Jumapili tarehe 22 Septemba mwaka 4000 KK. Hata hivyo, mahesabu ya kalenda yanaonyesha kuwa Septemba 22 ilikuwa Jumatatu (si Jumapili) na kwamba kosa hilo labda lilisababishwa na siku ya Yoshua iliyopotea. Hayo yote ni kwa mujibu wa Profesa C. A. Totten, wa Chuo Kikuu cha Yale, katika kitabu chake cha ‘Joshua’s Long Day and the Dial of Ahaz: A Scientific Vindication and a Midnight Cry’ kilichochapishwa mwaka 1890. Kama hakuna Mungu iliwezekanaje Yoshua aombe jua lisimame na jua likasimama kweli? Iliwezekanaje Yesu aseme atakufa, atafufuka na atapaa kwenda mbinguni na kweli ikatokea kama alivyosema? Ndani ya Biblia kuna tabiri 333 zilizotabiri maisha yote ya Yesu Kristo hapa duniani na zote zilitimia – bila kupungua hata moja. Utasemaje hapo hakuna Mungu? Mungu yupo, naamini, sijui. Tukio la Yesu kufa, kufufuka na kupaa kwenda mbinguni si la vitabu vitakatifu pekee, hata sayansi inakubaliana na hilo.” MatterGodLightScienceDeathUniverseI BelieveAnimalHistorySunMassHumanJesus ChristMiracleSpeedSundayStableMondayBirdsHistoriaMessiahGod ExistsEpochMunguSwitzerlandScientistsBig BangMultiverseHoly BooksDark MatterYesu KristoAtom2013UlimwenguBinadamuYale University1964JoshuaKifo1993Big CrunchCernHiggs BosonJua1995WanasayansiBosonYoshuaJumapiliMidwivesNdegeStandard ModelAtomuMnyamaMwangaFirst CenturyJumatatuMaria MagdalenaMasihiMwaka 1995Sayansi333 PropheciesKarne Ya KwanzaKitendawiliMaria MagdaleneMungu YupoNaaminiSix Years OldTabiri 333Uzito14 Billion Years Ago2 Million Kilometers Per Hour4000 KkBosoniChuo Kikuu Cha YaleJumanne Tarehe 22 JulaiJumapili Tarehe 22 SeptembaKilometa Milioni 2 Kwa SaaMaadaMeta UniverseMiaka Bilioni 14 IliyopitaMuujizaMwaka 1964Mwaka 1993Mwaka 2013Mwaka 4000 KkMwendokasiProfesa C A TottenSunday 22nd SeptemberThe God ParticleTuesday 29th JulyUmri Wa Miaka SitaUswisiVitabu VitakatifuWakungaZizi La Ng Ombe Author:Enock Maregesi
“Mungu alikupa vipaji ili uwanufaishe wengine na si kujinufaisha mwenyewe, na aliwapa wengine vipaji ili kukunufaisha wewe na si kujinufaisha wenyewe, kwa lengo la kuleta mabadiliko chanya katika dunia yetu.” WorldGodPurposePositiveYouYourselfTalentsChangesOthersMunguDuniaWengineWeweVipajiMabadilikoLengoChanyaMwenyewe Author:Enock Maregesi
“Kutakuwepo na nguvu za chanya na hasi katika maisha yako kadiri utakavyoishi hapa duniani. Ukiruhusu moyo wako kuwa chanya utakuwa chanya. Ukiruhusu moyo wako kuwa hasi utakuwa hasi. Shetani hawezi kuona ndani ya moyo wako mpaka wewe mwenyewe umwonyeshe. Ukionyesha chanya Mungu atakupa chanya. Ukionyesha hasi Shetani atakupa hasi.” WorldLifeHeartGodPositiveNegativeSatanMunguDuniaShetaniMaishaMoyoChanyaHasiNegative ForcesNguvu Za ChanyaNguvu Za HasiPositive Forces Author:Enock Maregesi
“Pesa ina thamani pale unapokuwa nayo, si pale unapokuwa huna, hivyo iweke mahali unapoweza kuiona: katika nyumba, katika shamba au katika elimu. Badala ya kumpa mtu pesa ili ajenge nyumba, mpe nyumba. Badala ya kumpa mtu pesa ili afanye biashara, mpe biashara. Halafu, mpe elimu afanye maamuzi ya biashara yake. Pesa ina laana na Mungu pekee ndiye anayeweza kuiondoa laana hiyo. Ni rahisi kwa tajiri kupata baraka ya pesa kwa sababu ana pesa na ana uwezo mkubwa wa kusaidia maskini. Ni vigumu kwa maskini kupata baraka ya pesa kwa sababu hana au ana uwezo mdogo wa kusaidia maskini. Mungu anaweza kuondoa laana ya pesa kupitia hisani kwa maskini, kitu ambacho aghalabu hufanywa na matajiri wenye uwezo mkubwa. Heri kutoa kitu au huduma au elimu kwa maskini kuliko pesa.” GodHouseMoneyBusinessEducationBlessingValueManDecisionsCurseServiceWealthyPhilanthropyNeedyPlaceMunguFarmThingMtuMaskiniPesaTajiriLaanaElimuKituMaamuziThamaniBarakaHudumaMahaliNyumbaBiasharaFinancial CurseHisaniLaana Ya PesaShamba Author:Enock Maregesi
“Mwendawazimu anaweza kuzungumza jambo la maana, kwa maana ya kuongozwa na Roho Mtakatifu. Hivyo, usimdharau mtu. Kila mtu ana thamani sawa mbele ya Mungu.” GodEqualValueInsaneHoly SpiritPersonMunguMtuRoho MtakatifuThamaniImportant IdeaJambo La MaanaMwendawazimuSawa Author:Enock Maregesi
“Maombi ya sifa huunganisha watu wa Mungu na hutayarisha njia kwa ajili ya uwezo wa Mungu katika maisha yetu. Thamani ya maombi ya sifa wakati wa matatizo ni kuimarisha imani yetu, na kuwa karibu na Mungu wetu. Mungu anataka tumpe sifa na kumshukuru kwa kila jambo, kama Mtume Paulo anavyosema katika waraka wa kwanza wa Wathesalonike 5:16-18. Kumshukuru Mungu wakati wa matatizo ni amri, si ombi.” PeopleWayLifeGodFaithPowerfulPowerPraiseValueCommandThanksNeedAlmightyThank YouRequestLetterPrayersPaulMatatizoImaniApostleMaombiKuombaAppreciationsSifaKushukuruThamaniAmriOmbiMwenyeziMtumeThessaloniansThessalonians 5 16 18WarakaWathesalonikeWathesalonike 5 16 18 Author:Enock Maregesi
“Kwa vile hatasamehewa, Shetani hatawasamehe wanadamu. Atahakikisha anauwa kila mtu duniani na kumpeleka kuzimu; ambako anaishi yeye, majini, malaika waovu, wana wa Mungu waliotumwa na Mungu kuja duniani kufundisha watu utukufu lakini wakaasi na Mungu akawalaani (au Wanefili) pamoja na nguva. Nguva ni uzao wa Wanefili na samaki wa baharini na malaika wauvu na wanapatikana zaidi katika Bahari ya Atlantiki, ambako mkuu wake ni Malkia wa Pwani, na katika Bahari ya Hindi ambako mkuu wake ni Malkia wa Bahari ya Hindi. Chini ya Bahari ya Hindi ndipo yalipo makao makuu ya ufalme wa giza hapa duniani.” PeopleHumansGodHellGlorySatanMiamiFishMermaidMunguFallen AngelsPuerto RicoThe WorldShetaniHeadquartersWatuYemenNephilimAtlantic OceanBermudaWanadamuSons Of GodDunianiIndian OceanJinnsKuzimuYemeniKingdom Of DarknessNguvaSamakiUfalme Wa GizaUtukufuWana Wa MunguBahari Ya AtlantikiBahari Ya HindiChini Ya Bahari Ya HindiGjiboutiJibutiMajiniMakao MakuuMalaika WauvuMalkia Wa Bahari Ya HindiMalkia Wa PwaniQueen Of The CoastQueen Of The Indian OceanUnder The Indian OceanWanefili Author:Enock Maregesi
“Nini kingetokea kama Adamu na Hawa wasingekula tunda la Mti wa Maarifa ya Mema na Mabaya mpaka siku ya Sabato? Mungu angewaruhusu kula na lengo la uumbaji wa Mungu lingekamilika. Wanadamu wakifuata Amri Kumi za Mungu katika maisha yao watakuwa na uwezo maalumu ambao baadaye utawawezesha, kupitia Roho Mtakatifu, kuwa na maarifa ya siri ya uumbaji wa Mungu.” MenLifeGodKnowledgeCreationCapacityFruitHoly SpiritAdamSabbathTen CommandmentsMunguMaishaEveMaarifaSabatoUwezoWanadamuRoho MtakatifuGod S CreationAdamuHawaAmri Kumi Za MunguTundaUumbajiUumbaji Wa MunguMti Wa Maarifa Wa Mema Na Mabaya Author:Enock Maregesi
“Lakini kuna ndoto takatifu na kuna ndoto za kishetani. Ndoto takatifu hutokea wakati akili imetulia baada ya mwili wote kupumzika, kama ambavyo usiku unavyokuwa kimya na kila kitu kimetulia, karibu na saa za alfajiri, ambapo mfumo wa usagaji chakula unakuwa umemaliza kazi yake. Kipindi hicho malaika wa Mungu hutufunulia siri kuhusu ulimwengu huu, ili kwamba tutakapoamka asubuhi tuwe na baadhi ya maarifa yaliyojificha ndani ya maandiko ya vitabu vitakatifu; kwa sababu malaika wa Mungu ndiye anayetawala ufahamu wetu, kama ambavyo Mungu anavyotawala hiari yetu, na kama ambavyo nyota zinavyotawala miili yetu. Lakini kwa wale waliokomaa kiimani malaika mwema anaweza kuwafunulia siri wakati wowote, haijalishi wamelala au wameamka. Kwa ajili ya ujanja wa Shetani ndiyo maana Mungu hutufunulia siri zake, ili tujihadhari naye.” MindGodBodyNightUniverseStarsSecretConsciousnessKnowledgeMorningChoiceMunguBodiesSiriAkiliUlimwenguSacred TextsMaarifaMwiliNyotaUfahamuUsikuGood AngelHiariMalaika MwemaMiiliAsubuhiHoly DreamsMfumo Wa Usagaji ChakulaNdoto TakatifuNdoto Za KishetaniSatanic DreamsDawn HoursDigestion SystemGod S AngelsMaandiko Ya Vitabu VitakatifuMalaika Wa MunguSaa Za AlfajiriThe Cunning Of SatanUjanja Wa Shetani Author:Enock Maregesi
“Falaki maana yake ni kundi la nyota na sayari ikiwemo dunia. Falaki yetu inaitwa Njiamaziwa, ‘the Milky Way galaxy’, yenye mabilioni ya mifumo ya jua ukiwemo wa kwetu. Mungu alisimamisha jua katika falaki ya Njiamaziwa kwa ajili ya Yoshua, ili apate muda wa kutosha kuwashinda maadui zake – wanajeshi wa mataifa matano. Kila mtu alishangaa sana kipindi hicho. Kila mtu anashangaa sana kipindi hiki. Mungu akikubariki watu watasema wewe ni mchawi. Hawatajua nini kilitokea. Kwani kwa Mungu hakuna kinachoshindikana. Mungu aliweza kutenda miujiza kwa ajili ya Yoshua, na kwa ajili ya wana wa Israeli huko Gibeoni na huko Aiyaloni, anaweza kutenda miujiza kwa ajili yako popote pale ulipo. Mungu anachotaka kutoka kwako ni imani ya kweli juu yake, kwa mwili na kwa roho yako yote.” WorldGodEarthTimeStarsSunBillionsWitchGalaxyMiraclesEnemiesSoldiersMunguPlanetTrue FaithDuniaWizardSolBody And SoulMudaJoshuaMaaduiIsraelitesJuaSolar SystemsYoshuaNyotaSayariThe Milky WayWana Wa IsraeliGibeonImani Ya KweliFalakiGibeoniMwili Na RohoNjiamaziwaTarraAijalonAiyaloniFive NationsMabilioniMataifa MatanoMchawiMifumo Ya JuaMiujizaWanajeshi Author:Enock Maregesi
“Kuna vitu vitatu ndani ya mtu: kuna hiari, kuna ufahamu, na kuna mwili. Hiari inatawaliwa na Mungu; ufahamu unatawaliwa na malaika mwema; mwili unatawaliwa na nyota lakini chini ya usimamizi wa malaika wema: malaika wema walisimamisha jua na mwezi kwa ajili ya Yoshua na wana wa Israeli juu ya Gibeoni na katika bonde la Aiyaloni, walirudisha jua nyuma kwa ajili ya Hezekia mfalme wa Yuda na kwa ajili ya nabii Isaya, na waliifanya dunia ‘kuvaa koti’ ghafla wakati wa kusulubiwa kwa Mwanakondoo wa Mungu Anayeondoa Dhambi. Moyoni ni mahali patakatifu. Hata malaika wema hawawezi kuona ndani ya moyo wa mtu, ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kufanya hivyo, na alichokihifadhi Mungu ndani ya moyo huo ni hiari ya mtu ya kuchagua mema au mabaya.” WorldHeartGodBodyStarsSunAwarenessMoonManFree WillThree ThingsMunguSinsDuniaMtuLamb Of GodDhambiMwiliJoshuaJudahIsraelitesJuaYoshuaNyotaGood AngelsMalaika WemaUfahamuMoyoniWana Wa IsraeliGibeonGood AngelHiariHoly PlaceMalaika MwemaMweziGibeoniYudaBonde La AiyaloniKing HezekiahMahali PatakatifuMfalme HezekiaMwanakondoo Wa MunguNabii IsayaProphet IsaiahValley Of AijalonVitu Vitatu Author:Enock Maregesi
“Adamu na Hawa walipotenda dhambi waligundua kuwa kumbe walikuwa na miili, walipogundua kuwa walikuwa uchi, kisha Mungu akawalaani. Miili yao ikakosa thamani mbele ya Mungu, sisi wote tukalaaniwa pamoja nao. Kwa Mungu hii miili haina thamani hata kidogo. Chenye thamani ni roho.” GodSinNakedAdam And EveMunguBodiesDhambiAdamu Na HawaMiiliUchi Author:Enock Maregesi
“Usiingilie mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu. Kuingilia mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu ni dhambi. Dhambi hiyo itakuathiri. Hivyo, jali mambo yako – ya mwingine Mungu anayafanyia kazi – hadi utakapoitwa na Mungu kuingilia kati. Kuingilia kati mambo ya mtu mwingine kunaweza kuathiri mpango wa Mungu katika maisha yake. Hivyo, acha.” LifeGodSinPermissionMunguGod S PlanMaishaDhambiKibaliMpango Wa Mungu Author:Enock Maregesi
“Wewe kuingilia mambo ya John ni sawa na kusema, ‘Mungu umeshindwa hebu ngoja na mimi nijaribu; ngoja niingilie kati kukusaidia juu ya maisha ya John Doe.’ Hiyo ni dhambi. Tena ni dhambi kubwa. Unajifananisha na Mungu; kwamba Mungu wa John Doe ameshindwa kwa hiyo mungu wewe ndiye utakayemtatulia matatizo yake. Amri kuu ya kwanza ya Mungu inasema, ‘Usiwe na miungu mingine ila mimi.’ Kuingilia mambo ya John tayari umevunja amri ya kwanza ya Mungu kwa kujifanya Mungu. Mungu ana mpango na maisha ya John, na anatumia matatizo yake kumfikisha kwenye takdiri aliyompangia. Hivyo, wewe si Mungu, acha Mungu afanye kazi yake. Mungu akikuruhusu kuingilia kati, yaani John akiamua kwa hiari yake mwenyewe kukuomba msaada wa mawazo au ushauri, maana yake ni kwamba Mungu amekuchagua wewe kuwa sehemu ya mafanikio ya John Doe.” LifeGodSinHelpPlanMunguMaishaDhambiMsaadaMpango Author:Enock Maregesi
“Inavyoonekana, kadiri mtu anavyozidi kupata elimu ndivyo anavyozidi kudharau uwepo wa Shetani na uwepo wa Mungu pia. Lakini, kwa upande mwingine, ndivyo anavyoonekana hajasoma sana na ndivyo Shetani anavyozidi kulaumiwa kwa kila dhambi inayotendeka. Kuna elimu ya kidunia na kuna elimu ya kidini. Huwezi kutawala dunia bila elimu ya kidunia, kwa sababu Shetani anajua ukiipata elimu hiyo hutajua kama yupo; na huwezi kutawala dunia bila elimu ya kidini, kwa sababu Mungu anajua ukiipata elimu hiyo utajua kama yupo. Hivyo, utamdharau Mungu ukipata elimu ya kidunia, utamheshimu Mungu ukipata elimu ya kidini.” GodSinEducationSatanMunguShetaniDhambiElimu Author:Enock Maregesi
“Dhambi ikizidi katika taifa, Mungu ataliangamiza. Taifa likitenda haki, Mungu ataliinua.” GodSinRightNationMunguDhambiHakiTaifa Author:Enock Maregesi