“Mammon ni mungu wa pesa wa kuzimu anayesimamia mambo yote ya kifedha ulimwenguni. Ni miongoni mwa mashetani saba waliotupwa na Mwenyezi Mungu hapa duniani kutokea mbinguni akiwemo Ibilisi, Beelzebub, Asmodeus, Leviathan, Amon na Belphegor. Ibilisi ni mungu wa kiburi, Beelzebub ni mungu wa uroho, Asmodeus ni mungu wa zinaa, Leviathan ni mungu wa wivu, Amon ni mungu wa hasira na Belphegor ni mungu wa uvivu. Jukumu la mashetani hawa ni kusimamia kwa uaminifu mkubwa kutokea kuzimu dhambi kubwa saba duniani ambazo ni kiburi, uroho, zinaa, wivu, hasira, uvivu na uchoyo. Dawa ya dhambi hizo ni busara, kiasi, ujasiri, imani, haki, tumaini na upendo.” WorldLoveGodFaithHopeHeavenJusticeCourageHellHonestyPrideCharityLustWrathPrudenceFortitudeSlothTemperanceAlmighty GodMunguLuciferGluttonyLeviathanSeven Deadly SinsImaniMwenyezi MunguUpendoAsmodeusMbinguniHasiraHakiDunianiKiburiMammonIbilisiUaminifuUvivuAmonUjasiriBeelzebubBusaraKiasiKuzimuMalicious EnvyWivuBelphegorTumainiUrohoZinaaDhambi Kubwa SabaGod Of MoneyJukumu La MashetaniMashetani SabaMungu Wa PesaRole Of DevilsSeven Devils Author:Enock Maregesi
“Wachawi wanamwabudu Shetani. Lakini Shetani wanayemwabudu si Shetani Ibilisi aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu kuja kuudanganya ulimwengu wote. Ni Shetani roho ya mabadiliko, mabadiliko ya kweli, ya ufahamu kamilia ulimwengu huu ambamo sisi sote tunaishi. Wachawi, kwa maneno mengine, wanaabudu miungu – kama vile Inanna wa Mesopotamia, Isis wa Misri, Asherah wa Kaanani au Belus wa Assyria ambaye ndiye mungu wa kwanza kuabuadiwa kama sanamu duniani – iliyotwaliwa na Shetani tangu misingi ya ulimwengu huu kusimikwa. Dhambi aliyotenda Shetani mbinguni ni ndogo kuliko dhambi wanazotenda wachawi duniani, ijapokuwa dhambi aliyotenda Shetani haitaweza kusamehewa na ndiyo maana Shetani hataweza kuwasamehe wanadamu. Ni jukumu letu kuwaita wachawi wote kutoka Babeli na kuwaleta katika ukweli kama kweli wanayemwabudu ni Shetani Ibilisi, Shetani Beelzebub, Shetani Asmodeus, Shetani Leviathan, Shetani Mammon, Shetani Amon au Shetani Belphegor ambao ni mabingwa wa kiburi, uroho, zinaa, wivu, fedha, hasira na uvivu duniani. Wachawi hawajui, na usipojua waweza kufa bila kujua.” WorldHumansGodTruthUniverseHeavenSinMoneyPrideLustIdolsDieGodsWitchesWrathWizardsSlothAlmighty GodMunguLuciferGluttonyReal ChangeBabylonLeviathanStatueDhambiUlimwenguMwenyezi MunguUkweliAsmodeusMbinguniHasiraWanadamuDunianiKiburiMammonKufaIbilisiUvivuWachawiAmonComplete UnderstandingBeelzebubFoundations Of This UniverseMiunguIsis Of EgyptMalicious EnvySanamuSpirit Of ChangeWivuAshera Of CanaanBabeliBelphegorFedhaMabadiliko Ya KweliRoho Ya MabadilikoUfahamu KamiliUrohoZinaaAsherah Wa KaananiBelus Of AssyriaBelus Wa AssyriaInanna Of MesopotamiaInanna Wa MesopotamiaIsis Wa MisriMisingi Ya Ulimwengu Huu Author:Enock Maregesi
“Wachawi wanaabudu miungu ambayo ndani yake kuna Shetani, aliyesababisha Ibilisi achague mabaya badala ya mema kabla Mungu hajamfukuza mbinguni. Shetani ndani yake kuna Shetani. Huyo Shetani aliyeko ndani ya Shetani, anayeitwa Roho ya Mabadiliko ya Kweli ya Ufahamu Kamili wa Siri ya Uumbaji wa Mungu (kwani ukiijua siri ya uumbaji wa Mungu unakuwa kama Mungu), ndiye anayeabudiwa na wachawi.” GodEvilHeavenGoodSatanGodsWitchesWizardsMunguLuciferReal ChangeShetaniMabayaMbinguniMemaIbilisiWachawiComplete UnderstandingMiunguSpirit Of ChangeMabadiliko Ya KweliRoho Ya MabadilikoSiri Ya UumbajiUfahamu KamiliSecret Of Creation Author:Enock Maregesi
“Shetani alikuwa malaika aliyeumbwa na Mungu lakini baadaye akamwonea Mungu wivu, wivu wa madaraka, hivyo Mungu akamtupa duniani kwa sababu ya kupingana na utawala wake mtakatifu. Duniani Shetani akamtumia nyoka kama mdakale kumdanganya Hawa. Hawa na Adamu wakamsikiliza Shetani badala ya kumsikiliza Mungu, nao wakalaaniwa. Shetani akajidai kuwa alikuwa na uwezo wa kufanya uzao wote wa Adamu na Hawa uwe mbali na Mungu, hivyo Mungu akampa muda wa kujaribu na kuthibitisha madai yake, lakini Shetani mpaka leo bado hajafanikiwa. Wakiitawala dunia leo kwa udanganyifu wa hali ya juu, pamoja naye, ni baadhi ya malaika ambao Shetani alifanikiwa kuwalaghai huko mbinguni. Mungu akawalaani pia na kuwatupa huku duniani, ambako Shetani alipapenda zaidi.” WorldGodTimeHeavenPowerClaimsEnvySatanDeceitAdamAngelsOffspringSerpentMunguRuleDuniaShetaniEveMouthpieceMudaMbinguniMalaikaAdamuHawaMadarakaUtawalaNyokaWivuUdanganyifuUzaoMadaiMdakaleRightful RulershipUtawala Mtakatifu Author:Enock Maregesi
“Kufanikiwa katika maisha lazima kitu fulani ambacho si cha kawaida kitokee katika maisha yako, bila kujali uko upande wa Yesu au upande wa Shetani. Kufanikiwa katika maisha ni sawa na kwenda mbinguni, au kuishi mbinguni duniani. Kitu ambacho si cha kawaida kutokea katika maisha yako ni sawa na kifo. Fanya kitu ambacho hujawahi kufanya kupata kitu ambacho hujawahi kupata.” LifeSuccessDeathJesusHeavenJesus ChristExtraordinarySatanHeaven On EarthShetaniMaishaYesu KristoYesuMafanikioKifoMbinguniAjabuMbinguni Duniani Author:Enock Maregesi
“Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni ni kifo!” DeathHeavenObstacleBarrierKifoMbinguniKikwazoKizuizi Author:Enock Maregesi
“Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni ni kifo. Kikwazo kikubwa cha kwenda ahera ni uzima wa milele. Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni ni Shetani. Kikwazo kikubwa cha kwenda ahera ni Yesu Kristo. Yesu Kristo ni njia iliyo huru ya kwenda mbinguni. Shetani ni njia iliyo huru ya kwenda ahera.” WayDeathHeavenHellJesus ChristSatanShetaniEverlasting LifeYesu KristoBarrierKifoMbinguniNjiaAheraKikwazoUzima Wa MileleFree WayNjia Huru Author:Enock Maregesi
“Adam Kuambiana umerudi nyumbani ulikotoka, ukiongozwa na imani na mwanga wa wale uliowapenda na kuwapoteza. Hatuwezi kukumbuka kwamba umetutoka bila kukumbuka kwamba uliishi, na kwamba maisha yako yalitupa kumbukumbu nzuri tusizoweza kuzisahau haraka. Jumanne, siku ya kuuaga mwili uliokuwa ukitumiwa na wewe, wengine watasema Kwa heri lakini mimi nitasema Asante! Asante kwa sababu ya kipaji chako. Asante kwa sababu ya kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wako wote, kutoa sauti kwa wale wote waliokuwa hawawezi kusikika. Asante kwa sababu ya kuacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta wakati ukiingia, na Asante kwa sababu ya maisha yako. Tukiendelea kuomboleza kifo cha Adam Kuambiana hapa duniani, wengine wanasherehekea kukutana naye huko mbinguni. Mchungaji wa uhai wa wote Mungu wa mbinguni ailaze roho yake mahali pema peponi: Yeye ni mwandishi wa hadithi ya maisha yetu na ndiye aliyeandika ukurasa wa mwisho wa hadithi ya Adam.” LoveLifeGodHomeLightDeathFaithLostHeavenVoiceMemoriesAudienceTalentMourningParadiseGoodbyeWriterStoryAdamThank YouMoviesTuesdayPhilipActorCelebrationsDirectorLast BreathLast ChapterLast PageAdam KuambianaAdam Philip KuambianaAdam S StoryBongo MoviesKuambianaLeave The World A Better PlaceShephard Author:Enock Maregesi
“Ni rahisi kushinda vita ya maisha na kuishi mbinguni duniani. Ni vigumu kushinda vita ya dhambi na kuishi mbinguni paradiso.” WorldLifeWarGodEarthHeavenSinBattleJesus ChristParadiseAmerican DreamHeaven On EarthBattlefieldDream Life Author:Enock Maregesi
“Kufika hapa nilipofika leo nilijitolea vitu vingi na mambo mengi katika maisha yangu. Niliishi katika uhamisho wa kijamii kwa ajili ya mafanikio. Nilijitolea muda. Nilijitolea usingizi. Nilijitolea starehe. Wakati wengine wakienda baa mimi nilikuwa kazini. Wakati wengine wamelala, mimi nilikuwa macho nikifanya kazi. Wakati wengine wakiangalia vipindi pendwa vya televisheni, mimi nilikuwa nikiangalia vipindi visivyopendeka vya televisheni. Wakati wengine wana muda wa kuchezea, mimi nilikuwa nikiyaendesha maisha yangu kwa ratiba maalumu.” SuccessSleepLuxuryMy LifeMafanikioMaisha YanguStareheFixed ScheduleRatiba MaalumuUsingizi Author:Enock Maregesi
“In us there is war between Light and darkness, but Light must prevail against darkness.” WarLightDarknessPrevail Author:Enock Maregesi
“The whole world is full of darkness! To penetrate you must be brave.” WorldDarknessBrave Author:Enock Maregesi
“Dunia nzima imejaa giza! Kupenya lazima uwe jasiri.” WorldDarknessBraveryDuniaGizaUjasiri Author:Enock Maregesi
“Hakuna uponyaji pasipo imani ya kweli. Giza linapoingia katika maisha yako ongea na Mungu. Halafu ongea na tatizo linalokusumbua. Kama tatizo linalokusumbua ni saratani, iambie saratani iondoke na kamwe isirudi katika mwili wako tena. Baada ya hapo, nenda kwa mchungaji. Jiweke wakfu, kwanza, kabla ya kuombewa.” LifeProblemBodyHealingDarknessCancerPastorTrue FaithMaishaShepherdMwiliOrdainedTalk To GodGizaImani Ya KweliWakfuMchungajiTatizoOngea Na MunguOngea Na TatizoSarataniSpeak To The ProblemUponyaji Author:Enock Maregesi
“Leo ni siku ya kumbukumbu ya giza lililoingia katika familia ya Enock Maregesi. Tarehe 4/11/14 ni siku nuru ya mwanga wa maisha ya nyanya yangu mpenzi Bi Martha Maregesi ilipozimika huko Musoma. Leo ni miaka miwili ametimiza akiwa kimya kabisa! Sikisikii tena kicheko chake wala siisikii tena hekima yake! Familia yake inamkumbuka sana. Palipokuwa kwake ni nyumbani kwetu. Hatuwezi kusahau upendo wake na umuhimu wake kwetu. Tulimpenda sana, lakini Mungu wa mbinguni alimpenda zaidi.” TodayDarknessTwo YearsMemorial DayMy GrandmaLeoHer LoveGizaMusoma4th November 2014Absolutely SilentBi Martha MaregesiBibi YanguBrightness Of LightEnock Maregesi S FamilyFamilia Ya Enock MaregesiFamilia YakeGod Loved Her MoreGrandma Martha MaregesiHatuwezi KusahauHekima YakeHer FamilyHer LaughterHer Value To UsHer WisdomKicheko ChakeKimya KabisaMiaka MiwiliMungu Alimpenda ZaidiNuru Ya MwangaNyanya YanguNyumbani KwetuOur HomePalipokuwa KwakeSiku Ya KumbukumbuTarehe 4 11 14Tulimpenda SanaUmuhimu Wake KwetuUpendo WakeWe Cannot ForgetWe Loved Her So MuchWhat Was Her Home Author:Enock Maregesi
“Unapokuwa mbali na Mungu unakuwa mbali na mwanga, unakuwa gizani, unakuwa mbali na joto, unakuwa katika baridi ya milele. Unapokuwa katika baridi ya milele rangi ya ngozi yako itabadilika na kuwa bluu. Macho yako yatakuwa makubwa kama ya nguva. Bluu maana yake ni kuwa mbali na maarifa ya Mungu. Nguva maana yake ni kuwa mbali na utukufu wa Mungu. Kuwa karibu na maarifa ya Mungu na utukufu wa Mungu, usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo.” GodLightDarknessBlueHeatEyesGlory Of GodMermaidMunguMachoKnowledge Of GodCoolMwangaChristian Of Jesus ChristChristian Of The ChurchMkristo Wa KanisaBaridiBluuChristian Of ReligionMkristo Wa DiniMkristo Wa Yesu KristoNasara Wa DiniNasara Wa KanisaNguvaGizaniJotoMaarifa Ya MunguNasara Wa Yesu KristoRangi Ya Ngozi YakoThe Color Of Your SkinUtukufu Wa Mungu Author:Enock Maregesi
“Kujenga urafiki na wanasiasa wakati mwingine ni kitu kizuri. Wanasaidia kurahisisha mambo.” SometimesPoliticsFriendshipPowerNiceInfluenceBuildingGoodHelpPoliticiansSimplifyThingsInformational Author:Enock Maregesi