“Kama mwanadamu una haki ya msingi kuwa na amani katika maisha.”
Filter quotes by topic
Famous Enock Maregesi Quotes
Source: Kolonia Santita
“Ukiwanyima watoto uhuru wa kuwa watoto leo watakuwa na uhuru wa kuwa watoto kesho.”
“Kuandika riwaya ya kijasusi kama Kolonia Santita lazima uishi kama Myahudi. Lazima uishi kifikra!”
“Kuandika hadithi ni kitu kimoja. Kuweka kanuni za fasihi katika hadithi ni kitu kingine.”
Source: Kolonia Santita
“Ukiua mtu damu yake itakusuta maisha yako yote! Itaongea na wewe ikikulaumu milele!”
“Mungu alitupa masikio mawili na ulimi mmoja. Tunatakiwa kusikiliza zaidi kuliko kuongea.”
“Unapoupinga utafiti wa mtu upinge kwa utafiti mwingine! Bila hivyo unashindana na ulimwengu.”
“Ukiropoka unashindana na ulimwengu! Kiri, ikiwa umekosa, na tubu.”