Filter quotes by topic
Famous Enock Maregesi Quotes
“Unataka kufanikiwa lakini hutaki watu wakuone. Kama una kipaji kionyeshe kwa watu.”
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtetezi wa uafrika. Kwa sababu yake tunajua sisi ni nani.”
“Ukiipenda sana nchi yako ni rahisi sana kuichukia serikali yake!”
“Ukitaka kufanikiwa katika maisha yako kuwa tayari kuitwa mjinga au mpumbavu.”
“Beroendet är inte om att använda droger. Det handlar om vad läkemedlet gör att ditt liv.”
“Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.”
“Heri kufuta mashtaka kuliko kumfunga mtuhumiwa asiyekuwa na makosa. Kuonewa kunauma.”
“Neno la mwisho kuongea kabla ya kufa lina nguvu kubwa kuliko la kwanza baada ya kuzaliwa.”
“Sawa. Кто Вы, где Вы от, и почему Вы в Москве?”
“Kujua kama alikosea kwa bahati mbaya au makusudi, vaa viatu vya yule unayemchukia.”