Filter quotes by topic
Famous Enock Maregesi Quotes
“Tunajua. Ikiwa tutatanguka, basi ni kwa sababu ya kutojali.”
“Mtu akikupiga ngumi utaumia. Akikutukana utaumia. Akikunyima Neno la Mungu utaumia pia.”
“Elimu ni ufunguo wa maisha lakini wengine funguo zao zina kutu!”
“Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima.”
“Komando hata akiwa na kizibo cha bia usimruhusu awe nacho. Anaweza kukutoa shingo.”
“Hakuna anayeweza kuwa tajiri wa kupindukia bila kuwa na uhusiano na Wayahudi.”
“Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia.”
Source: Kolonia Santita