“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari. Unahangaika upite wapi kufika baharini, ambapo utaogelea kwa kadiri utakavyoweza. Utakapofika baharini, watu, badala ya kusema umebarikiwa, watasema umelaaniwa, badala ya kukuita malaika, watakuita shetani. Mafanikio hayapimwi kwa pesa au mali kiasi gani unayo, mafanikio yanapimwa kwa amani ya moyo au maisha ya watu kiasi gani umeboresha.” PeopleLifeGodSuccessMoneySeaTalentOceanAngelPropertyCurseSatanRiverMunguShetaniMaishaWatuPeace Of HeartMaliPesaMafanikioLaanaKipajiMalaikaAmani Ya MoyoMtoBahariniEntrance To The SeaMlango Wa Bahari Author:Enock Maregesi
“Kabla hujapona matatizo yanayokusumbua ponya roho yako kwanza, kabla hujakwenda kwa mchungaji, roho yako inajua kila kitu katika maisha yako.” LifeProblemsPastorMaishaShepherdMatatizoMchungaji Author:Enock Maregesi
“Mungu hutumia majaribu makubwa katika maisha yetu kutukomaza na kutukamilisha. Kitu kisichokuua hukufanya mpiganaji.” LifeGodTrialsFighterMatureMunguCompleteMaishaWhat Doesn T Kill YouMajaribuKamilikaKomaaMpiganajiKitu Kisichokuua Author:Enock Maregesi
“Kwa nini mtoto mchanga anapokuwa ananyonya ziwa la mama yake, mara nyingi humwangalia mama yake machoni? Kwa sababu, licha ya macho kuonekana kitu cha ajabu kwake, mtoto mchanga, bila kujitambua, hutamani sana mama yake amwambie neno zuri atakalolitumia baadaye katika maisha yake atakapokuwa mkubwa. Maneno huumba. Ukimwambia mwanao kuwa anaonekana atakuwa jambazi, anaweza kuwa jambazi kweli atakapokuwa mkubwa; ukimwambia kuwa anaonekana atakuwa mwanasheria, anaweza kuwa mwanasheria kweli atakapokuwa mkubwa.” LifeMotherBabyLawyerEyesMamaWordMachoCriminalMaishaBreastJambaziNenoMwanasheriaMtoto MchangaZiwaManeno Huumba Author:Enock Maregesi
“Mungu ndiye aliyetengeneza ubongo. Ni vizuri kuamini kwamba Yeye ndiye anayetupa maarifa, kupitia malaika wema, kuhusu maisha yetu na kuhusu siri ya uumbaji wake.” GodBrainKnowledgeLivesMunguMaishaMaarifaUbongoGood AngelsMalaika WemaMystery Of CreationSiri Ya Uumbaji Author:Enock Maregesi
“Kamera ina athari kubwa sana katika maisha yetu. Inaweza kuharibu taswira ya mtu mbele ya jamii, na inaweza kuharibu maisha ya mtu hali kadhalika. Wasanii wakubwa duniani hawatoki ndani bila ya kuwa nadhifu au bila ya kujipodoa. Kwa nini? Kwa sababu ya wasanii wao wa vipodozi. Wasanii wao wa vipodozi hawataki waajiri wao wawe na taswira mbaya mbele ya wateja wao ambayo ni jamii. Kuwa na taswira mbaya mbele ya jamii kunaweza kusababisha wao (wasanii wa vipodozi) pamoja na waajiri wao, wasiishi vizuri hapa duniani kama wanavyotaka. Kioo ni kitu au mtu. Kama huna uwezo wa kumiliki vipodozi, miliki kioo. Kama huna uwezo wa kumiliki kioo, miliki rafiki. Kioo (hasa kitu) hakina unafiki. Usitoke ndani bila kuridhika na taswira yako.” LifeSocietyEffectsSmartCustomersHypocrisyFriendPersonArtistsEmployersMirrorImageMaishaCameraMtuJamiiRafikiKameraTaswiraKiooWasaniiNadhifuUnafikiWaajiriAthariWateja Author:Enock Maregesi
“Kila mtu anapaswa kuwa na siri angalau moja katika maisha yake.” LifeSecretPersonOneMaishaMtuSiriAt LeastAngalauMoja Author:Enock Maregesi
“Mungu anatupenda sana, ndiyo maana akamleta Mwanawe wa pekee ili afe kwa ajili yetu, lakini haupendi mfumo wa maisha wa dunia hii.” WorldLifeGodMunguDuniaMaishaHis Begotten SonMwanawe Wa Pekee Author:Enock Maregesi
“Kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa raha ni rahisi kuliko kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa shida, na utahitaji imani kuendelea kumwamini wakati wa dhiki. Vipindi vigumu katika maisha yetu hutokea kwa kila mmoja wetu. Kuamini ya kwamba Mungu ana makusudi ya lazima kukuondolea vikwazo katika maisha yako ni vigumu sana wakati mwingine, lakini imani ndicho kitu cha muhimu zaidi unachotakiwa kuwa nacho katika kipindi hiki ambacho dunia imekata tamaa. Amani ya Mungu, ambayo huzidi hekima na maarifa yote ya kibinadamu, ni kuliamini neno la Mungu kwamba ni la kweli. Bila imani hutaweza kumfurahisha Mungu. Imani ni ufunguo wa nguvu, uwezo na neema ambavyo Mungu ametupangia. Kwa ufupi, Mungu ni mkubwa kuliko wewe na matatizo yako.” LifeGodFaithAbilityPowerGraceDifficultyObstaclesProblemsComfort ZoneMunguKeyMaishaMatatizoImaniMwenyezi MunguNguvuUwezoGod AlmightyDeliberatelyPeace Of GodDunia Imekata TamaaWorld Has Given UpMakusudiNeemaUfunguoVikwazoAmani Ya MunguDhikiWakati Wa Raha Author:Enock Maregesi
“Mungu alikupa maisha akakupa akili ili utambue jema na baya na akakupa amri zake ili uishi kwa amani na upendo. Kama Mungu hayupo mwanamume na mwanamke walitoka wapi? Wazazi wako walitoka wapi? Wazazi wao walitoka wapi? Wazazi wao walitoka wapi?” LifeGodManWomanCommandmentsMunguMaishaMwanamkeMwanamumeAmri Author:Enock Maregesi
“Yesu wakati anakufa msalabani hakufikiria kifo. Alifikiria maisha.” LifeDeathJesusCrossMaishaYesuKifoMsalaba Author:Enock Maregesi
“Ningependa – maisha yangu yatakapokoma hapa duniani – kukumbukwa kama mtu aliyejitahidi kwa kadiri ya uwezo wake wote, kutumia kipaji alichopewa na Mungu.” WorldLifeGodAbilityTalentPersonMunguDuniaMaishaMtuMy LifeUwezoKipajiMaisha Yangu Author:Enock Maregesi
“Maisha yangu ni darasa. Jifunzeni kutokana na maisha yangu, jifunzeni kutokana na sifa zangu za ushupavu, jifunzeni kutokana na sifa zangu za udhaifu, kutatua matatizo katika maisha yenu.” LifeProblemsLearnClassroomMaishaWeaknessesStrengthsMy LifeMatatizoMaisha YanguDarasaJifunzeniMy StrengthsMy WeaknessesSifa Za UdhaifuSifa Za UshupavuSifa Zangu Za UdhaifuSifa Zangu Za Ushupavu Author:Enock Maregesi
“Mungu akikuweka mahali unapostahili kuwa, kulingana na takdiri ya maisha yako, hakuna mtu mwenye uwezo wa kushindana na kipaji chako.” LifeGodAbilityDestinyTalentPersonPlaceMunguMaishaMtuUwezoKipajiTakdiriMahali Author:Enock Maregesi
“Tafuta kitu cha kufanya katika maisha yako unachokiamini zaidi kuliko pesa, kutoa sauti kwa ajili ya watu wasioweza kusikika kwa mfano, na ukishakipata kuwa kiongozi na mkarimu kwa wengine. Kutoa sauti kwa ajili ya watu wasioweza kusikika inaweza kuwa ndiyo nafasi yako uliyopangiwa na Mungu uitumie kwa manufaa ya wengine, si kwa manufaa yako, nafasi za wengine zitatumika kwa manufaa yako. Kuna vitu vingi ambavyo mtu anaweza kufanya; chagua kimoja kinacholeta maana zaidi katika maisha yako na ukifanye hicho, kwa nguvu zako zote.” PeopleLifeGodEnergyVoiceMoneyLeaderBenefitsGenerousThingsPlaceSenseSearchMunguSomethingMaishaWatuPesaNguvuKiongoziMaanaKituSautiMkarimuNafasiTafutaVituManufaa Author:Enock Maregesi
“Mwambie mtoto wako maneno mazuri anapokuwa ananyonya na kukuangalia machoni kwa kukukodolea. Maneno utakayomwambia ndiyo yatakayokuwa msingi wa mawazo yake, na ndiyo yatakayoumba maisha yake atakapokuwa mkubwa.” LifeIdeasWordsChildGood WordsMaishaMawazoMtotoManenoManeno Mazuri Author:Enock Maregesi
“Nuhu anasemekana kuwa mtu aliyedharaulika sana huko Babeli. Maisha yake yalijaa utata. Lakini ukweli ni kwamba, bila Nuhu mimi na wewe tusingekuwapo. Unayemdharau sana mwogope sana.” LifeContemptMaishaBabylonNoahDharauBabeliNuhu Author:Enock Maregesi
“Katika dunia ya leo ambapo mamilioni ya watu hutegemea utandawazi kupata pesa, kuwa na imani kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua au mtu mwenye nia mbaya na wewe ni kikwazo kikubwa cha maendeleo kwa sababu, karibu kila mtu unayekutana naye ni Shetani. Shetani ni mtu yoyote mwenye nia mbaya na wewe. Hivyo, kama uliwahi kuambiwa kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua ni kitu kibaya futa imani hiyo. Utaachaje kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua wakati kila siku unamwomba Mungu akusaidie, na Mungu hutenda kazi zake pale tunapojisahau? La sivyo hutapata pesa unayotamani kupata katika maisha yako, na kamwe hutawaamini watu. Zaka huondoa laana ya mapato. Toa zaka kununua pepo uliyopewa na Mungu.” WorldLifeGodFaithMoneyDevelopmentSatanParadiseGlobalizationMaliceMunguDuniaShetaniTitheMaishaPesaImaniZakaMaendeleoMillions Of PeopleNia MbayaPepoCurse Of IncomeLaana Ya MapatoMamilioni Ya WatuMtu UsiyemjuaUnanimous PersonUtandawazi Author:Enock Maregesi
“Unapokuwa na matatizo makubwa katika maisha, Shetani anakuandama sana, Mungu ana mpango maalumu na maisha yako.” LifeGodSatanProblemsPlanMunguShetaniMaishaMatatizoMpango Author:Enock Maregesi
“Unapokumbana na matatizo makubwa katika maisha yako ujue Mungu ana mpango maalumu na maisha yako. Ndiyo maana Shetani anakuandama hivyo.” LifeGodSatanProblemsMunguShetaniMaishaMatatizoMpango MaalumuSpecial Plan Author:Enock Maregesi
“Yesu Kristo alilipa gharama ya maisha yake kutununua kutoka kwa Shetani. Alijitolea maisha yake ili wengine waweze kuishi. Upendwe vipi?” LifePayJesus ChristSatanPriceShetaniMaishaYesu KristoGharamaLipa Author:Enock Maregesi
“Kujiponya kisaikolojia lazima unyanyuke kiroho hadi katika ulimwengu wa roho, na uyatazame maisha yako kutokea juu kuja chini.” LifePsychologyMaishaSpiritual WorldSaikolojiaUlimwengu Wa Roho Author:Enock Maregesi
“Mwili wako una uwezo wa kujua kabla yako kitakachotokea baadaye. Kama una njaa kwa mfano, mwili wako utakwambia. Kama una kiu, mwili wako utakwambia. Kama unaumwa, mwili wako utakwambia. Kama kuna kitu kibaya kinatarajia kutokea katika maisha yako au katika maisha ya mtu mwingine, mwili wako utakwambia. Kuwa makini na alamu zinazotoka ndani ya mwili wako, kwani hizo ni ishara za Roho Mtakatifu kukuepusha na matatizo ya dunia hii.” WorldLifeBodyDiseaseManProblemsSignalsThirstySignsOmenDuniaMaishaDaemonMtuMatatizoMwiliRoho MtakatifuHangerUgonjwaAlamuKiuNjaaDaliliIsharaJakamoyo Author:Enock Maregesi
“Kama John Doe ana matatizo katika maisha yake acha ayatatue mwenyewe. Akishindwa atakuomba ushauri au ataomba ushauri kutoka kanisani kama ni Mkristo, au msikitini kama Mwislamu, au kutoka katika nyumba yoyote ya ibada kulingana na imani yake. Mtu akikuomba ushauri mshauri kwa moyo wako wote, wala usimshauri kwa unafiki au kinyongo cha aina yoyote ile.” LifeChurchAdviceProblemsMaishaMatatizoKanisaUshauriJohn Doe Author:Enock Maregesi
“Dunia imekata tamaa. Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko ukombozi wa maisha yao. Sekunde moja ya toba inaweza kukupa ufalme wa mbinguni. Hujachelewa.” PeopleWorldLifeSalvationRepentanceProblemsKingdom Of HeavenDuniaMaishaWatuSecondMatatizoSekundeDunia Imekata TamaaUfalme Wa MbinguniWorld Has Given UpTobaHujachelewaUkomboziYou Are Not Late Author:Enock Maregesi
“ATP hutumika katika kipindi ambapo mtu anakuwa amekata tamaa kabisa katika jambo lolote analolifanya, na yeyote anayetumia ATP ana uwezo mkubwa wa kufanikiwa katika maisha yake. Hivyo, usikate tamaa, jitahidi kwa kadiri ya uwezo wako WOTE.” LifeAllDo Not Give UpMaishaAtpUsikate TamaaWote Author:Enock Maregesi
“Ukitaka kuwa na mashabiki fanya kitu ambacho si cha kawaida katika maisha yako, kila siku.” LifeFansExtraordinaryEverydaySomethingMaishaKituMashabikiKila SikuSi Cha Kawaida Author:Enock Maregesi
“Katika maisha watu watakufitini, watakurubuni na watakukatisha tamaa. Sema hapana kwa ndiyo nyingi.” PeopleLifeContemptIntrigueDiscouragingMaishaWatuSay NoSema HapanaA Lot Of YesesNdiyo NyingiFitinaKukatisha TamaaKurubuni Author:Enock Maregesi
“Yesu aliishi maisha yake yote chini ya utawala wa kidikteta lakini hakuandamana. Kwa nini sisi leo?” LifeJesusMaishaYesuDictatorship RuleUtawala Wa Kidikteta Author:Enock Maregesi
“Uzima wa milele si mchezo wa kubahatisha! Kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake, mema au mabaya, na huo uzima wa milele atapewa yule atakayetenda mema maisha yake yote.” LifeActionsEternal LifeLotteryMaishaGood Or EvilMatendoMema Au MabayaUzima Wa MileleMchezo Wa Kubahatisha Author:Enock Maregesi
“Tunapaswa kujisikia furaha kuu tunapokumbana na majaribu mbalimbali katika maisha yetu, tukijua kwamba kujaribiwa kwa imani yetu hutufanya wavumilivu na wapiganaji katika Jina la Yesu, na tunapaswa kuruhusu uvumilivu katika maisha yetu kwa sababu Mungu hutumia uvumilivu huo kutukomaza na kutukamilisha.” LifeGodHappinessJoyFaithFightingPerseveranceTrialsMatureMunguCompleteMaishaImaniFurahaUvumilivuMajaribuIn The Name Of JesusKamilikaKomaaKatika Jina La YesuUpiganaji Author:Enock Maregesi
“Kuna maisha baada ya saa tisa na nusu. Kuwa makini na raia.” PeopleLifeMaishaRaia3 30 PmSaa Tisa Na Nusu Author:Enock Maregesi
“Mahatma Gandhi alipigwa risasi na kufariki dunia baada ya maisha yake kumfelisha. Lakini kifo chake kiliipatia India uhuru kutoka Uingereza. Hivyo, akafanikiwa.” LifeIndiaEnglandMaishaBulletMahatma GandhiRisasiUingereza Author:Enock Maregesi
“Tengeneza maisha ya mwanao kwa kuongea naye maneno mazuri anapokuwa tumboni mwako, na anapokuwa ananyonya akikuangalia machoni.” LifeGood WordsMaishaMwanaoManeno MazuriYour Child Author:Enock Maregesi
“Kufanikiwa katika maisha lazima kitu fulani ambacho si cha kawaida kitokee katika maisha yako, bila kujali uko upande wa Yesu au upande wa Shetani. Kufanikiwa katika maisha ni sawa na kwenda mbinguni, au kuishi mbinguni duniani. Kitu ambacho si cha kawaida kutokea katika maisha yako ni sawa na kifo. Fanya kitu ambacho hujawahi kufanya kupata kitu ambacho hujawahi kupata.” LifeSuccessDeathJesusHeavenJesus ChristExtraordinarySatanHeaven On EarthShetaniMaishaYesu KristoYesuMafanikioKifoMbinguniAjabuMbinguni Duniani Author:Enock Maregesi
“Hakuna uponyaji pasipo imani ya kweli. Giza linapoingia katika maisha yako ongea na Mungu. Halafu ongea na tatizo linalokusumbua. Kama tatizo linalokusumbua ni saratani, iambie saratani iondoke na kamwe isirudi katika mwili wako tena. Baada ya hapo, nenda kwa mchungaji. Jiweke wakfu, kwanza, kabla ya kuombewa.” LifeProblemBodyHealingDarknessCancerPastorTrue FaithMaishaShepherdMwiliOrdainedTalk To GodGizaImani Ya KweliWakfuMchungajiTatizoOngea Na MunguOngea Na TatizoSarataniSpeak To The ProblemUponyaji Author:Enock Maregesi